Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hakika Mkuu.Wananchi hatushindwi. Tuombe majeraha yake mbali na wachezaji wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Mkuu.Wananchi hatushindwi. Tuombe majeraha yake mbali na wachezaji wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona game haijaanza wakuu, nipo safarini nafatilia ila sijaona kitu hata kwny page za timu
Hao jamaa siku wakirudi kileleni hata kwa bahati mbaya mniite Kibu DenisNa huu ndo msimamo. [emoji1787]
View attachment 2450186
Hivi hiyo 1.5+ au 1.5 under huwa inamaanisha nini? Naonaga sana kwenye page za michezo, naomba kujuzwaGoal 1.5+ leo
Nakazia Mkuu.Hao jamaa siku wakirudi kileleni hata kwa bahati mbaya mniite Kibu Denis
Kabisa yaani japo hawa wakiwa pale Chamazi wanakaza ila naamini tutapata matokeo.Next game tuko na azam...tukishinda hii bc ubingwa tutaanza kuufikiria
Hahahaa. Kabisa yaani.Zimebaki mechi 9 tukishinda hizi basi wengine watajua nani awe mke wa kwanza au wapilk
+ zipatikane goli zaidi mfano 1.5+ kuanzia goli mbili, 1.5 under, goli zisizidi mbili au lisifungwe goli kabisaHivi hiyo 1.5+ au 1.5 under huwa inamaanisha nini? Naonaga sana kwenye page za michezo, naomba kujuzwa
Muache kuvaa jezi za misukule nyeusiIle misemo pendwa imepotea mithili ya mdudu dinosaur
1.[emoji2788] Ukiona Yanga anaongoza ligi ujue Simba hajacheza [emoji777]
2. [emoji2788]Hao kawaida yao hua wanatangulia na basikeli ya miti [emoji777]
3.[emoji2788]Hao kawaida yao kuongoza round ya kwanza round ya pili tunakuja wenye nasafi yetu [emoji777]
N.b sasa hivi wamekuja na habari ya Jezi nyeusi wakati wao tumewapapasa bila jezi nyeusi