SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Yah namkubali ila naona hatokuwapo wa kumtuma na kumwelekeza mwingine kati ya Bacca na the shark.Wana rotate, Bondo sasa yuko poa sana.
Anaingia taratibu kuna mechi inakuja ya FA I think ata anza ili asipoteze confidence kumbuka kilicho mtokea MwamnyetoSasa mkuu, hatochezaga?
Ni kweli usemalo japo kiTanzania Tanzania inawezekanaga sana tu Mkuu.Katoka safarini, kisha mazoezi na timu kafanya siku moja tu. Wangempanga leo wangekuwa wanafosi tu aonekane uwanjani.
Halafu amebadilika ghafla kwa sasa Shem.Wana rotate, Mwamnyeto sasa yuko poa sana.
Kumbe Ni njano na kijani tupu nitaluwa naita pipote pale kwenye nyuz za yanga
Mzee wa kipensi huyo na mwenzie Matola wameshaanza yao.Kakimbiaaaaaa!!! Mbona mapema sana?
Katakuwa kamepulizwa ndumba kaione kazi chungu!Mzee wa kipensi huyo na mwenzie Matola wameshaanza yao.
Tatizo chama hamtaki kochaKakimbiaaaaaa!!! Mbona mapema sana?
Tarehe sikumbuki vyema ila itakuwa mwezi wa nne mwishoniYanga na simba tarehe ngapi wazee
Hawezi kutufunga hata itokee niniNahisi tukicheza na simba tukiw bdo na gap la point 6, hata watufunge bdo tutakuw mabingwa....I hope so
Duuh! Hatari sana Shem.Mzee wa kipensi huyo na mwenzie Matola wameshaanza yao.
Hata sare hawapati.Hawezi kutufunga hata itokee nini