Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Unateseka ukiwa katika mkao gani Ndugu?Hawa madogo, miguu yao inatetemeka
Jezi hizi next level, ila nimeikuba zaidi hiyo blue na kijani
Hiyo ya blue ni fire
Kituo kinachofuata, Adidas au Nike.Jezi hizi next level, ila nimeikuba zaidi hiyo blue na kijani
TFF hawataki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Home kit hiyo, balaa sana
Kwahiyo hizi jezi tutazitumia kwenye ligi au ni caf pekee.Kwenye Masuala Ya Jezi Young Africans Tuna Dunia Yetu..Daah [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1487][emoji23]
Siku hizi wadada mpk mashabiki wa simba wanavaa jezi za YANGAJamaa anaupiga mwingi hadi unahofia awamu ijayo atakuja na idea ipi itakayobamba kuliko hii.
Kesho mapema sana nadaka yyte maana zote ni kali tu.
Kwahiyo hizi jezi tutazitumia kwenye ligi au ni caf pekee.
Caf pekee,za ligi mdhamini sportpesaKwahiyo hizi jezi tutazitumia kwenye ligi au ni caf pekee.