Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ndio zimeshaisha tayari tangia jana.
 
Hiyo April Ifike tu Swahiba tuzidi kuwavuruga na viongozi wao.

Mana nasikia katika ahadi za Mangungu hadi wamempa Uwenyekiti ya kwanza ni kuifunga Timu ya Wananchi. Teh teh.
Swahiba makolo dish zimeyumba πŸ˜‚,ule upumbavu walichofanyiwa na mo na genge lake iwapo kingefanywa na hersi wachambuzi wangepaliwa na mate katika kukosoa
 
Hii ndo inaonyesha kwamba Watanzania tukipewa nafasi tunaweza pia.

Mi namkubali zaidi anapozifafanua kile alichokiweka kwenye hizo jezi sio wale wengine wanatengeneza jezi kulingana na rangi ya chupa za energy. [emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu hii issue ya SportPesa imekaaje?

Ndo kusema Uongozi ulifanya maamuzi bila kuafikiana au sijaelewa yanayoendelea?

Sidhani Kama Ni Kweli Yanga Walifanya Maamuzi Bila Ya Mawasiliano Na Sportpesa Juu Ya Hili, Na Hili Suala Hersi Alilizungumza Pale Pale Siku ile Ya Uzinduzi Wa Hizi Jezi…Na Sidhani Kama Kuna Wanachofaidika Sportpesa Kama Yanga Akivaa Jezi Zenye Hiyo Visit Tanzania Kifuani…, Hivi Hela Kama 1.5B Mtu Unaiachaje Kwa Kucheza Mechi Sita Tu Za Kimashindano?
 
Ngoja tuone Mkuu huenda tukapata kauli itakayohitimisha haya ili kuondoa hii sintofahamu.
 
MIMI NI YANGA ILA HII SIMBA JAMAN ACHENI WACHEZE KIMATAIFA SISI TUCHEZE TU SHIRIKISHO LA WALIOFELI



FEISAL PLUS SPORTPESA[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…