Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Bahati haikuwa upande wetu. Tugange yajayo Timu ya Wananchi.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Sio mbaya, ila waarabu wana mpira wa kizamani sana, wakikutangulia wataanguka anguka kwa dk 30 nzima, soka limebadilika lkn wao bado wana mpira ule ule, sisi tutawaacha wao bado watabaki hapo hapo na mpira wao wa kijinga.
 
Sio mbaya, ila waarabu wana mpira wa kizamani sana, wakikutangulia wataanguka anguka kwa dk 30 nzima, soka limebadilika lkn wao bado wana mpira ule ule, sisi tutawaacha wao bado watabaki hapo hapo na mpira wao wa kijinga.View attachment 2515263
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mmeshindwa kuwafunga?? Khaaaaah hizi futuhi zipo kwako tyuuh.
 
Prof. Nabi atuambie kwa nini Doumbia mrefu hachezi. Tulisajili ili akae jukwaani na urefu wake ule. Yule mmali mwenzake asingetufunga kwa sababu ya urefu wake
Kwa kweli hata mimi hapo kanichosha sana! Yule mwamba hata kama hajawa timamu angeweza kuwatia jambajamba kwa ule urefu wake! Pale nyuma leo alitakiwa huyo Doumbia, Mwamnyeto, Bangala, Djuma na Lomalisa! Akina Job na Kibwana wangeingia labda dakika za mwisho mwisho!
 
Kama yule ANDUNJE {KIJEBA} wa Horoya jana alivyoingia kupunguza FUTA baada ya kuona VIBONDE wanarukaruka tu
 
Sio mbaya, ila waarabu wana mpira wa kizamani sana, wakikutangulia wataanguka anguka kwa dk 30 nzima, soka limebadilika lkn wao bado wana mpira ule ule, sisi tutawaacha wao bado watabaki hapo hapo na mpira wao wa kijinga.View attachment 2515263
Sasa wenye mpira wa kisasa, ndipo tunatakiwa kutumia mpira wa kisasa kuwafunga.
 
Kusajil wachezaji sio wanariadha kama wakina kisinda na moroko
Hakuna timu isiyofungwa, ukikubali kushindwa leo, jua kesho utakua mshindi, All hahaly na ubora wake, kuna mechi anafungwa.

Simba na Yanga hazina hela, zinategemea hela za watu, hivyo usitegemee usajiri wa wachezaji wazuri sanaa.
 
So far tumecheza vizuri, magoli tuliyofungwa ni kama tumeviziwa hivi. Tujipange na game zijazo na naamin mipira ya kutenga sasa tutaiepuka ama kuitafutia suluhu ya kudumu.

Ihefu alitufunga na Azam pia mechi ya kwanza magoli yote yalitokana na mipira ya kutenga.

Tukifanikiwa kutibu huu ugonjwa mbona tutafika mbali sana.
 
Kuna haja ya kufuatilia uwezo wa prof.Nabi kuwatumia wachezaji.uongozi unasajili kwa maelekezo yake wanakotoka wategemewa na vikabu na mataifa yao,wakija hawaonekani Yuko na walewale kwanini fedha imetumika?tuliambiwa Doumbia anaimarisha beki ametoka CHAN nahodha huko Mali.Musonda Kama hawezi kumtumia amenunuliwa iweje?,ebu angalia Aucho haeleweki kiungo mkabaji au kiungo mshambuliaji Hana connection na Aziz au wings zote.Aziz ki mzuri lakini Hana muunganiko na wenzake.Mayele anabaki ametengwa.
Anapaswa kutuambia kwanini Doumbia hakusimama pale alinunuliwa kwa ajili hizi mechi ametoka CHAN.
Hata kwenye ligi ushindi Ni wa mashaka.shida za akina moloko na Kisinda zinajulikana dirishani dogo kulikuwa na uwezekano wa kumuacha Kisinda wa mkopo na kumuingiza Yaccuba.Kisinda anachemka kwenye ligi Ni wa kuanza kweli.unamwachaje Lomalisa nje ili iweje ?
Huyu kocha anataka kutugombanisha na viongozi wetu Bora kabisa.
 
Hakuna timu isiyofungwa, ukikubali kushindwa leo, jua kesho utakua mshindi, All hahaly na ubora wake, kuna mechi anafungwa.

Simba na Yanga hazina hela, zinategemea hela za watu, hivyo usitegemee usajiri wa wachezaji wazuri sanaa.
Usifananishe Simba na Yanga mkuu, tutake radhi. Yanga ina direction, kufungwa ugenini jambo la kawaida, hata wao tutawafunga nyumbani. Uwezo huo tunao, ikiwa kwao tu tumewachezesha sindimba vipi kwetu.
 
Acha mihemko kolo wewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…