Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Mkuu kwa leo Sikioni cha kutuzuwia kumkanda Azam.Stephane Aziz Kiiiiiiiii...! [emoji460][emoji169][emoji172]
Mapigo Ni Yale Yale Kama Ya Msimu Ulopita Mkuu....Ukandaji Unaendelea Leo.Mkuu kwa leo Sikioni cha kutuzuwia kumkanda Azam.
Ewaaa!Mapigo Ni Yale Yale Kama Ya Msimu Ulopita Mkuu....Ukandaji Unaendelea Leo.
Pacome zouzoua ana tatizo gani??
Kocha Ndo Anajua, Vp Una Mashaka Na Hiyo Lineup?Pacome zouzoua ana tatizo gani??
Tunatunza baadhi ya siraha kwa matumizi ya baadaye!!Pacome zouzoua ana tatizo gani??
Yah, Moja Ya Mbinu Ya Kivita Ni Kutotumia Silaha Zako Zote Mapema.Tunatunza baadhi ya siraha kwa matumizi ya baadaye!!
Kikosi kimesimama.
Rage alikuwa sahihi ...