Weka audio au video kuedit na kuweka maneno hayo kila mtu anaweza.
Rage alikuwa sahihi ...
Huku toka nenda kwa makolo wenzio
ππRage alikuwa sahihi ...
Yangaaaa.....Ohooo ooohooo sisi ndiyo YangaΓ100000
Yeah....hiyo akili.Tunatunza baadhi ya siraha kwa matumizi ya baadaye!!
Mkuu ukishabadili hili jina utupe taarifa.Mapigo Ni Yale Yale Kama Ya Msimu Ulopita Mkuu....Ukandaji Unaendelea Leo.
Kabisa Mkuu. πππMkuu ukishabadili hili jina utupe taarifa.
Mbn Tayari Mkuu [emoji23]Mkuu ukishabadili hili jina utupe taarifa.
Nipo Hapa Mkuu [emoji23][emoji23]Kabisa Mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiwe Na Wasi Wasi Na Fundi Zuzwa Pacome...Ni Suala La Muda Tu Utaona Unyama Wake.Pacoume ana changamoto ipi? Hatujamuona siku ya mwananchi, na game against Azam, yasije kuwa mambo ya " Beki la Chan"
Zuzwa Pacome Mtaalam Sana Huyo Jamaa..[emoji91][emoji91]Pacoume ana changamoto ipi? Hatujamuona siku ya mwananchi, na game against Azam, yasije kuwa mambo ya " Beki la Chan"
Anaanza kucheza game gani huyu jamaa au ndio hamna taarifa maalum mpaka sasa.Zuzwa Pacome Mtaalam Sana Huyo Jamaa..[emoji91][emoji91]
Hivyo ndo wewe pia huyu Mkuu?Nipo Hapa Mkuu [emoji23][emoji23]