Amiin!!! Moto wa Leo naona ni Raha tu Kabla hata haujaanzaKila la kheri Timu ya Wananchi. Kama kawaida tunaenda kukiwasha na leo.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Yaani ndani moto nje moto,unaamua ukae tu ulipo kifo kikukutie hapohapoHii inaitwa Kata mti panda mti
View attachment 2729488
Siyo mzito,shida yake ipo kwenye kujiweka kwenye maeneo ya ufungaji, kumsoma mwenzake akiwa na mpira na kunusa mipira inayozagaa golini Kwa adui. Amekuwa muhangaikaji zaidi kuliko uchu wa magoli. Apewe muda mana energy yake Bado ni kubwa kwenye timu yetuSijui anakwama wapi aisee?
Ngoja nielekee kibandaumiza nikafurahie pila biriani la Gamond.[emoji172][emoji172][emoji169][emoji169]Hii inaitwa Kata mti panda mti
View attachment 2729488
Aisee Gamondi anabadilika hadi raha, hamna yale makasiriko ya kwanini huyu hachezi kwanini yule haanzi.Hii inaitwa Kata mti panda mti
View attachment 2729488
Kabisa Mkuu.Amiin!!! Moto wa Leo naona ni Raha tu Kabla hata haujaanza
πππYaani ndani moto nje moto,unaamua ukae tu ulipo kifo kikukutie hapohapo
Kabisa Mkuu na hii ndo inadhihirisha vile Yanga ina kikosi kipana pia.Aisee Gamondi anabadilika hadi raha, hamna yale makasiriko ya kwanini huyu hachezi kwanini yule haanzi.
Kila mtu anaanza, leo naona metacha hayupo kabisa Mshery kachukua nafasi sub. Safi sana
Dakika ya 13 tunaongoza bao moja Mkuu.Nyuzi ya update siioni
Tupeni updates hapa kwetu nyumbani, wananchi[emoji1548][emoji1548]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ahsante, Dogo ameshalianzishaDakika ya 13 tunaongoza bao moja Mkuu.
Maxi katupia.
Hakika Mkuu.Ahsante, Dogo ameshalianzisha
Tunatarajia mengi makubwa kutoka kwake
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app