Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Watajuta kilichowapeleka pale Jangwani. 🤣🤣Zaidi ya noma swahiba,hadi watubu makolo
Watajuta kilichowapeleka pale Jangwani. 🤣🤣Zaidi ya noma swahiba,hadi watubu makolo
Mpaka waseme awatorudia tena walichokifanya pale 😄Watajuta kilichowapeleka pale Jangwani. 🤣🤣
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wananchi hapa vipi?
hapo sawaWananchi hapa vipi?
Kweli kabisa Mkuu. Japo huyu Salimu kuna muda anakuwaga kama karatasi akikabwa na wachezaji wenye nguvu zao.Wachezaji wetu wacheze kwa kujituma
Huu usajili binafsi sijauelewa kama kwakuwa mzize bado kurudi na ili mradi tutanue kikosi tu basi fresh. 😄Hahahaaaa. Amkeni amkeni. 😂😂😂
View attachment 3648060
nimeona mahali kwa yule Hans Rafael anasema hivyo, kama ni Okello mwenyewe ndo kataka kuondoka apo sawa, ila kama vinginevyo Yanga wawe makini japo naamini wapo makini, kwa huyo watakayemleta kwenye nafasi yake aje aingie kwenye timu moja kwa moja na awe fit kweli mi sitaki mambo ya Lassine Kouma yajirudie na kuanza kumkumbuka Okello huko mbele na hata kwa Depu pia maana Depu alikuwa ashaonesha na ashaingia kwenye flow ya timu na alikuwa na fitness nzuri yeye pamoja na Dube tena Dube huyu karibia mechi nyingi za Yanga ulikuwa unamkuta pale mbele alikuwa fit sana, sijui sasa kwa Shalulile na Toure kwanza wasikauke kwenye magoli na wasiwe na majeruhi ya ovyo maana Shalulile inasemekana Mamelodi pale majeruhi yalimuandana sana na ni moja ya sababu wao kuachana nae na kwa Mzize kurudi uwanjani kuna tetesi zinasema mpk November, mi sitaki tu mambo ya baadae huko tuwe tunamtegemea Mihambo na Sele pale mbele na kuanza kumkumbuka Depu. 😄Kuna tetesi za kuuzwa Okello na kumsajili Fofana. Kama ni za kweli, na ni lazima Okello auzwe basi ni Bora hiyo nafasi iachwe wazi, Pacome akirudi aingie.
Hope ni rumours tu.nimeona mahali kwa yule Hans Rafael anasema hivyo, kama ni Okello mwenyewe ndo kataka kuondoka apo sawa, ila kama vinginevyo Yanga wawe makini japo naamini wapo makini, kwa huyo watakayemleta kwenye nafasi yake aje aingie kwenye timu moja kwa moja na awe fit kweli mi sitaki mambo ya Lassine Kouma yajirudie na kuanza kumkumbuka Okello huko mbele na hata kwa Depu pia maana Depu alikuwa ashaonesha na ashaingia kwenye flow ya timu na alikuwa na fitness nzuri yeye pamoja na Dube tena Dube huyu karibia mechi nyingi za Yanga ulikuwa unamkuta pale mbele alikuwa fit sana, sijui sasa kwa Shalulile na Toure kwanza wasikauke kwenye magoli na wasiwe na majeruhi ya ovyo maana Shalulile inasemekana Mamelodi pale majeruhi yalimuandana sana na ni moja ya sababu wao kuachana nae na kwa Mzize kurudi uwanjani kuna tetesi zinasema mpk November, mi sitaki tu mambo ya baadae huko tuwe tunamtegemea Mihambo na Sele pale mbele na kuanza kumkumbuka Depu. 😄