stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
tumefikia wapi kwenye kuloga!!?Kama yupo Tambwe basi hakuna tatizo, maana anajua nini cha kufanya kwenye mechi kama hizi. Ngoja niandae chapati zangu nijiandae kunywa supu ya mnyama
PamojaaKila la kheri Yanga yetu hapo kesho.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Hii thread imejaa wenye presha watupu, si rahisi kupata matokeo humuWenye matokeo jamani
Mkuu tuombe matokeo yaishe hivi kama hatufungukiTimu yetu mpira unaocheza hata auleweki
Sema kweliTimu yetu mpira unaocheza hata auleweki
Sema kweli
Matokeo ni bila bila ila sasa mpira hautoki goli la YANGA yaani full kubanwa ni kukoswa koswa mwanzo mwisho.Wenye matokeo jamani
Mungu alikuwa upande wetu,kakolanya katubeba sanaHatimae tumepona
Hahahaha mtakufa next time,this is thimba bhana possession ni simba 86 na ngada 16 percentage respectivelyHatimae tumepona
Hakika mkuu ila marekebisho ni muhimuMungu alikuwa upande wetu,kakolanya katubeba sana
Umefata nini huku?Hahahaha mtakufa next time,this is thimba bhana possession ni simba 86 na ngada 16 percentage respectively
Wekeeni passcode gu siredi gwenu...Hahahaha tulia mkuu furahia mmetoa draw.Umefata nini huku?