Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Walikuwa wanatengeneza mashambulizi vizuri ila umaliziaji na umahiri wa mlinda mlango wetu umefanya tupate pwenti moja.
 
Kwa timu yetu hii mbovu inayoendeshwa kwa ndumba hatufiki popote!!!
Wewe acha utani, mpira ni sayansi, hakuna nduba pale Lazima kocha awe ameusoma mchezo na kufaham nini cha kufanya? Ndiyo maana matokeo yakawa kama ulivyoona. Ni kweli kikosi cha simba ni kizuri kuliko cha Yanga. Sasa kocha wa Yanga ametumia utaalam wake.
 
Wazee wa ndumba mpoo
Mnamsifu kakolanya Kumbe alitakiwa asiliwe mganga tu
 
Duh unazi mbaya pana shabiki wa simba alinambia lile goli la ajibu kipa angeweza kucheza so inaonekana alipewa mlungula
 
Yanga huwezi kufananisha na timu zisizoeleweka, Hii ni yanga, kama wakufungwa ni kufungwa hakuna cha CCM kirumba wala uwanja wa taifa.
Mbona kirumba mlipigwa 2 kavu acha unafiki kuwa mkweli. Ni kweli kafunga goli zuri lakini ni zilipendwa lilishapigwa na wachezaji kibao hapa bongo hamsemi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…