Zamu ya Lipuli leo Mkuu. ππ Hatari sana.Zamu ya nani leo...........
Nikwer kabisaHaisaidiii Mkuu watuache na Mabakuli yetu mwisho wa siku Msimamo ndio unaongea. Hahaaaaa.
Lazima apapasweHachomoki huyo nduguye Mikia.
Habari nzuri hizi... Yanga ya kimtaifa hii.Tayari mambo yashakwiva huko 1-0
Yanga oyee............Tayari mambo yashakwiva huko 1-0
Ngassa M
Ushindi ni Ushindi, tunashukuru wachezaji wetu kwa kujituma, siunajua hawa wanaurafiki na jamaa zetu wa mtaa wa pili.Full time yanga 1-0
Hongereni vijana wa Africa
Sana, yaani inawanyima raha na bado watajuta kuifahamu YANGA.Mikia FC huwa hawataki kusikia hii.
Hakika mkuu, hayo ya nyuma tumwachie Amber RutyDaima mbele nyuma mwiko
la chilunda halifikii kwa lile la AjibuAjibu kafunga bao la kawaida tu lakini kelele nyingi
Mmesahau chilunda aliwapiga bao kama lile
Chilunda alikabwa huyu Ajibu hakukabwa alikuwa pekee yake yanakuwaje sawa.la chilunda halifikii kwa lile la Ajibu
aya bhana#MlapanyaswangaChilunda alikabwa huyu Ajibu hakukabwa alikuwa pekee yake yanakuwaje sawa.
Hebu linganisha hapo uone. Magoli kama hayo yamefungwa sana kwenye compilation kali si kama Ajibu alivyofanya bila bughudha anaseti miguu awezavyo.aya bhana#Mlapanyaswanga