Hakuna Shida, hayo ni matokeo tu, tunaendelea kujipanga tu.GO YANGA GO
TUNASONGA MBELE MKUU, KIROHO SAFI, KUTELEZA KAWAIDA
Kwa wapenda michezo wote mnakaribishwa kwenye app hii inayoonesha mechi zote hasa za ulaya live>> http://bit.do/man24
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tutampiga Cost Union
Matokeo hadi sasa: Coastal Union 1, Yanga 0
Leta taarifa kiongoziiiiiKikosi cha leo kinafurahisha. Singida lazima alale.
Tupo pamoja katika maombiKila la kheri timu ya Wananchi.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Hahahaaa. Ushindweeee. Toka lini ukawa huku kwa Wananchi. ππππ Hebu. ππ
Nataka kujaribu kama naweza kuwa shabiki wa chura churanHahahaaa. Ushindweeee. Toka lini ukawa huku kwa Wananchi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hebu. [emoji23][emoji23]
Kama nakuona ilivyo kinyume chake ili kesho mjini pasikalike.