Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
Itakuwa vyema zaidi Mkuu kwani misimu miwili iliyopita tulikuwa dhohofu lihali na kama msimu huu wachezaji tu na hamasa ya kocha ndio iliyotufanya tusimame na kuwapeleka puta mikia.
Nina imani hili jukwaa linapitiwa na viongozi wetu wa Yanga. Mimi kama shabiki wa Yanga tangu utotoni mpaka nilipofikia ktk umri wangu huu wa utu uzima; Naomba nitoe rai kwa viongozi wangu wa Yanga mliochaguliwa hivi karibuni;
Kama kuna uwezekano wa kusitisha mkataba na mwalimu Mwinyi Zahera, fanyeni hivyo ili kulinda maslahi ya timu na pia hadhi yenu kama viongozi iweze kuheshimika na kutambulika.
Ni ukweli ulio wazi, ametusaidia sana kwa hali na mali msimu uliopita hadi timu yetu kushika nafasi ya pili na kupata nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao. Lakini tukubali tu ukweli kocha wetu ana mapungufu hasa nje ya uwanja na hivyo wakati fulani kutishia umoja na mshikamano ndani ya timu na klabu kwa ujumla.
Amekuwa ni mlalamishi kupitiliza kwa TFF, bodi ya ligi, waamuzi, wachezaji, nk. Amejipa majukumu mengi ndani ya klabu jambo ambalo binafsi naona siyo sahihi.
Amekua si mtu wa kushaurika! Akiamua ameamua kiasi kwamba anaonekana yuko juu ya timu jambo ambalo naona siyo sahihi kiasi fulani. Mfano ni wakati wa kulishughulikia suala la Benno Kakolanya( lilikua ni jambo la kusameheka lakini alimkataa mwanzo mwisho) ili tu mkongomani mwenzake Kindoki apate nafasi lakini mwisho wa siku matokeo tuliyaona!
Kwenye suala la Makambo pia tulishuhudia alipojivika joho la uwakala wa mchezaji pasipokujali maslahi ya timu kama mchezaji bado anahitajika au la! Pia nikasikia tetesi alimkataa kocha Mecky Maxime asijiunge Yanga kuongeza nguvu kwa sababu zake binafsi!
Kubwa kuliko, ni hili la kumkataa nahodha wa timu asiongezewe mkataba kwa sababu alikataa kujiunga na klabu ya swahiba wake/ mkongomani mwenzake na pia bosi wake kwenye timu yao ya taifa( timu ya Tp Mazembe)
Ushauri wangu ni kusitisha mkataba na huyu kocha kwa maslahi ya timu maana iwapo mtaendelea kumkumbatia, basi madhara yake yatendelea kuitafuna timu kama ilivyotokea pale alipokataa kufanya kazi na Kakolanya na mwisho wa siku lile dodoki lake kuishia kufungwa magoli ya kizembe na hivyo kuchangia timu yetu kukosa ubingwa msimu uliopita. Haya ni maoni yangu!
Mengine uliyoandika sijui kama ni kweli au la, ila kwa ishu ya Benno nipo na Zahera, ilifika hatua yule kijana alikuwa havumiliki! Na ile ilisaidia kidogo la sivyo hata hiyo nafasi ya 2 tusingeipata!Nina imani hili jukwaa linapitiwa na viongozi wetu wa Yanga. Mimi kama shabiki wa Yanga tangu utotoni mpaka nilipofikia ktk umri wangu huu wa utu uzima; Naomba nitoe rai kwa viongozi wangu wa Yanga mliochaguliwa hivi karibuni;
Kama kuna uwezekano wa kusitisha mkataba na mwalimu Mwinyi Zahera, fanyeni hivyo ili kulinda maslahi ya timu na pia hadhi yenu kama viongozi iweze kuheshimika na kutambulika.
Ni ukweli ulio wazi, ametusaidia sana kwa hali na mali msimu uliopita hadi timu yetu kushika nafasi ya pili na kupata nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao. Lakini tukubali tu ukweli kocha wetu ana mapungufu hasa nje ya uwanja na hivyo wakati fulani kutishia umoja na mshikamano ndani ya timu na klabu kwa ujumla.
Amekuwa ni mlalamishi kupitiliza kwa TFF, bodi ya ligi, waamuzi, wachezaji, nk. Amejipa majukumu mengi ndani ya klabu jambo ambalo binafsi naona siyo sahihi.
Amekua si mtu wa kushaurika! Akiamua ameamua kiasi kwamba anaonekana yuko juu ya timu jambo ambalo naona siyo sahihi kiasi fulani. Mfano ni wakati wa kulishughulikia suala la Benno Kakolanya( lilikua ni jambo la kusameheka lakini alimkataa mwanzo mwisho) ili tu mkongomani mwenzake Kindoki apate nafasi lakini mwisho wa siku matokeo tuliyaona!
Kwenye suala la Makambo pia tulishuhudia alipojivika joho la uwakala wa mchezaji pasipokujali maslahi ya timu kama mchezaji bado anahitajika au la! Pia nikasikia tetesi alimkataa kocha Mecky Maxime asijiunge Yanga kuongeza nguvu kwa sababu zake binafsi!
Kubwa kuliko, ni hili la kumkataa nahodha wa timu asiongezewe mkataba kwa sababu alikataa kujiunga na klabu ya swahiba wake/ mkongomani mwenzake na pia bosi wake kwenye timu yao ya taifa( timu ya Tp Mazembe)
Ushauri wangu ni kusitisha mkataba na huyu kocha kwa maslahi ya timu maana iwapo mtaendelea kumkumbatia, basi madhara yake yatendelea kuitafuna timu kama ilivyotokea pale alipokataa kufanya kazi na Kakolanya na mwisho wa siku lile dodoki lake kuishia kufungwa magoli ya kizembe na hivyo kuchangia timu yetu kukosa ubingwa msimu uliopita. Haya ni maoni yangu!
Mtapata tabu sana Yanga
Hahahaa sawa mkuu, naona mnachangishana leoYanga juu ck zote kiongozi
NYIE MALAPA MMESIKIA RAIS WETU MSTAAFU ALIVYOWAAMBIA KUWA WANAMSIMBAZI WEMECHANGAMKA WAKIWA JUKWAANI??? MARA ALIVYOSEMA HIVYO MALAPA WAKAPIGIA SIMBA MAKOFI NDANI YA UKUMBI.Hahahaa sawa mkuu, naona mnachangishana leo
Hahahaa sawa mkuu, naona mnachangishana leo
Sawa mkuu nimekubaliπππMkubwa hiyo ni hali ya kawaida sana cz ht Tajiri akifa mcban huwa kuna mchango ht wa rambi rambi wakati marehem alikua bilionea, kiongozi hii ni moja ya kuonyesha nguvu ktk #Club zetu [emoji120]
Umeandika kwa upoole mwenyewe. ππππSawa mkuu nimekubaliπππ
Najua hizo ni mbio za sakafuni zitaishia ukingoniUmeandika kwa upoole mwenyewe. ππππ
Ila ni ukweli ujue. π