Asee kufungwa kwa Yanga na Ruvu hakupunguzi machungu ya Mbumbumbu/Mikia/Tundu/Gala/Kilomoni/Bi Hindu/Timu Muswati FC kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa. Vimebahatisha Mara moja msimu ulopita vinapiga keleleeeee!. Hebu vituache sisi Wa kimataifa bwana.Mikia yabidi mtushukuru kwani tumewapa ahueni ndani ya nafsi mana mlikuwa mnaelekea kupagawa.
Pia niwaambie ile ni ligi kuu jamani na bado kuna mechi kibao na ndio sababu hata Barca mechi ya kwanza ya ufunguzi wa la Liga alipoteza pia na wala haikuwa jambo la ajabu.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
π€£π€£π€£π€£ Waambie Mkuu walijua kila siku ni Jumatatu.Asee kufungwa kwa Yanga na Ruvu hakupunguzi machungu ya Mbumbumbu/Mikia/Tundu/Gala/Kilomoni/Bi Hindu/Timu Muswati FC kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa. Vimebahatisha Mara moja msimu ulopita vinapiga keleleeeee!. Hebu vituache sisi Wa kimataifa bwana.
Wanacheza na timu ya wananchi Septemba 14. Hivyo siku mbili au tatu nyuma watakuwa washatia timu.zesco wanakuja lini jamani
ninayo tayari nataka kwenda kuwapokea airportWanacheza na timu ya wananchi Septemba 14. Hivyo siku mbili au tatu nyuma watakuwa washatia timu.
Kulikoni Mkuu unataka ununue jezi yao? πππ
Ooh! Andaa vuvuzela tu Mkuu.ninayo tayari nataka kwenda kuwapokea airport
thank you sana maana nipo Mbeya hapaOoh! Andaa vuvuzela tu Mkuu.
Wakikaribia utaipata taarifa.
Hamna Mbaya Chief!!!thank you sana maana nipo Mbeya hapa
unahitaji nikuletee mojaHamna Mbaya Chief!!!
Kitu gani nahitaji? Kama ni jezi za timu ya Wananchi Sesten Zakazaka alishaninunulia.unahitaji nikuletee moja
jezi za ZESCO ndugu yanguKitu gani nahitaji? Kama ni jezi za timu ya Wananchi Sesten Zakazaka alishaninunulia.
Hizo Ahsante. πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈjezi za ZESCO ndugu yangu
Hijo jezi tayari nimekuletea sasa nakununulia kabisa na tracksuit kofia, viatu, soksi na hata "naniliu" ile ambayo haionekanagi vyote hivyo vikiwa na rangi ya timu yako unayoipenda sana ShadeeyaKitu gani nahitaji? Kama ni jezi za timu ya Wananchi Sesten Zakazaka alishaninunulia.
Uuwiiii!!!! Nawaza tu mfanano wake utakuwaje hapo. πππTena nakununulia kabisa na tracksuit kofia, viatu, soksi na hata "naniliu" ile ambayo haionekanagi vyote hivyo vikiwa na rangi ya timu yako unayoipenda sana Shadeeya
Ila najua siku mkitufunga hautanizodoa sanaa eeh mamii
KWa bahati nzuri huo msamiati wa kutufunga haupo kabisa msimu huu ujue? Jipangeni labda miaka ijayoUuwiiii!!!! Nawaza tu mfanano wake utakuwaje hapo. πππ
Tena mlivyo na tambo siku ya kuwafunga sijui kama ntaweza kujizuwia kukuzodoa. πππ ππ