Tusubiri tuone Ses. Japo naona mshaanza kututoa michezoni kwa kumfungia Zahera.KWa bahati nzuri huo msamiati wa kutufunga haupo kabisa msimu huu ujue? Jipangeni labda miaka ijayo
Huyo Zahera mtakuja kumtimua nyinyi wenyewe subiri tu tuwapakate ndani njeTusubiri tuone Ses. Japo naona mshaanza kututoa michezoni kwa kumfungia Zahera.
Ila Mungu anawaona mjue.
Yanga msimu huu tuna washambuliaji 'butu' mpaka inatia huruma! Hakuna cha Sadney, siyo Balinya, siyo Molinga, sijui Kalengo!
Ni wazito kiasi cha kushindwa hata kukimbia hatua mbili tatu kuwapunguza walinzi wa timu pinzani! Sijui ugonjwa huu utamalizika lini. Tutamkumbuka sana Makambo. Kwa kweli mwalimu hakustahili kumuuza.
Hawa si mtu na mwanae? Yaani Yanga na Toto lake
Hahahaaa! Ndio nasikia kwako Ses ujue. 😜😜Hawa si mtu na mwanae? Yaani Yanga na Toto lake
Hahahaaa sisi majirani tunajua sasa wenye nyumba vipi msiwe na taarifa Shadeeya?Hahahaaa! Ndio nasikia kwako Ses ujue. 😜😜
Ndio ujue kwamba munatukubaliHahahaaa sisi majirani sasa wenye nyumba vipi msiwe na taarifa Shadeeya?
Tuwacheni na mechi yetu ya kirafiki💃💃💃Kwa ufupi wa maneno hamna friend match hapo, hilo ni bonanza la kikosi A na B
Shadeeya bana hiyo sio mechi ya kirafiki ni mechi ya kindugu kabisaa, yaani kama alivyoimba babu Seya "baba na mwana" akiwa na Papii KochaNdio ujue kwamba munatukubali
Tuwacheni na mechi yetu ya kirafiki💃💃💃
Shadeeya ukisikia matokeo ya kiitifaki ndio kama haya. Yaani ni marufuku kabisa mtoto kumuabisha baba hata kama baba ni dhaifu! Hya yanapangwa mezani wakiwa wanakula pamoja kabda ya mechi
Ikaamuliwa kiitifaki pia kwamba na kibonge mafuta Molinga naye asafishe nyota kwa kuaxhiwa afunge magoli mawili ikiwa ni mkakati wa kupoza hasira za mashabiki dhidi yake na dhidi ya Papa Zahera anaeonekana kuwauzia mbuzi kwenye gunia
Subiria Jumamosi Ses pia nikukaribishe uje ujionee yatakayotokea dhidi ya Zesco.Shadeeya ukisikia matokeo ya kiitifaki ndio kama haya. Yaani ni marufuku kabisa mtoto kumuabisha baba hata kama baba ni dhaifu! Hya yanapangwa mezani wakiwa wanakula pamoja kabda ya mechi
Ikaamuliwa kiitifaki pia kwamba na kibonge mafuta Molinga naye asafishe nyota kwa kuaxhiwa afunge magoli mawili ikiwa ni mkakati wa kupoza hasira za mashabiki dhidi yake na dhidi ya Papa Zahera anaeonekana kuwauzia mbuzi kwenye gunia