Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Shadeeya itafika mahali mtaona huyo kocha anazingua na nyie wenyewe mtaanza kumshikia bakora na kumuonyesha mlango wa kutokea. Nitarudi tena siku zijazo kukukumbusha hili panapo majaaliwa ikiwa utakua umesahauKocha wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amekusudia kuwaziba midomo wanaobeza kikosi chake huku akidai kuwa watawatoa Zesco United, kwenye mchezo wa marudiano wa Klabu bingwa barani Afrika utakachezwa katika jiji la Ndola nchini Zambia.
Ses hiyo ndio sifa ya kuajiriwa kama Kocha hakuna anayeondoka kwa raha na hii ndio itakavyokuwa kwa Ausem na hata Zahera pia.Shadeeya itafika mahali mtaona huyo kocha anazingua na nyie wenyewe mtaanza kumshikia bakora na kumuonyesha mlango wa kutokea. Nitarudi tena siku zijazo kukukumbusha hili panapo majaaliwa ikiwa utakua umesahau
Historia ni mwalimu mzuri tuombe uhai mamiiSes hiyo ndio sifa ya kuajiriwa kama Kocha hakuna anayeondoka kwa raha na hii ndio itakavyokuwa kwa Ausem na hata Zahera pia. Chmbn
Boo [emoji23]
Mwinyi Zahera: Yanga itafika makundi hata kama hampendi, aahidi kuwaonyesha wanaobeza kikosi chake
. . . .
Kocha wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amekusudia kuwaziba midomo wanaobeza kikosi chake huku akidai kuwa watawatoa Zesco United, kwenye mchezo wa marudiano wa Klabu bingwa barani Afrika utakachezwa katika jiji la Ndola nchini Zambia.
Katika mchezo wa mkondo wa kwanza wakicheza nyumbani vijana wa Zahera walilazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 huku Zesco United FC wakichomoa dakika ya 94 kupitia kwa kiungo wao Thaban Kamusoko.
Kwa mujibu wa chombo cha habari cha Spoti Leo online, Kocha huyo raia wa Congo amesema anatambua kwamba watu wengi hawaipi Yanga nafasi ya kutinga hatua ya makundi kutokana na sare hiyo lakini yeye ni kocha mwenye mbinu nyingi zinazomwezesha kupata matokeo na amepania kuwashangaza watu kwa kufanya hivyo Zambia. . . . . “Nataka kuwaonyesha watu hasa wale wanaoidharau Yanga, kwamba tutacheza makundi ya Ligi ya mabingwa kwa kuwatumia wachezaji hawa hawa waliocheza mechi ya kwanza nitaongezea na mbinu zangu mbadala ambazo hatukuzitumia mchezo uliopita nina uhakika tutavuka na midomo wataifunga,” alisema Zahera.
Kocha huyo amesema Zesco siyo timu yakutisha kihivyo kama ambavyo watu wanaizungumzia ndiyo maana baada ya kuwaona na kubaini mbinu wanazotumia amepata uhakika wa kujua cha kufanya na kupata matokeo wakiwa ugenini.
Yanga ili kusonga mbele hatua ya makundi inalazimika kupata sare ya kuanzia mabao 2-2 au ushindi wowote, jambo ambalo litawalazimu kucheza kwa umakini mkubwa sababu Zesco nao wamepania kuendeleza rekodi yao ya kucheza makundi kama wanavyofanya huko nyuma.
😀😀😀Boo [emoji23]
Hahahaha, Mtani niko Kitwe Zambia ,naona km upepo uko vzr kwakoKocha Mkuu wa Zesco United George Lwandamina amekiri kuwa kiungo mkabaji wa Yanga abdul_aziz makame_ 'Bui' ndiye aliyewavuruga mipango yao jijini Dar es salaam akishukuru kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Yanga kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa
Katika mchezo huo, Makame alicheza sehemu ya kiungo pamoja na 'nduguze' kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum 'Fei Toto' na Mohammed Issa 'Banka'
Mkufunzi huyo wa zamani wa Yanga amesema alivutiwa na aina ya uchezaji wa Bui mara kwa mara akihusika kukata mawasiliano baina safu ya kiungo na washambuliaji wa Zesco
Kiwango alichoonyesha Bui kwenye mchezo huo, kimemuweka kwenye nafasi nzuri ya kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza
Kocha Mwinyi Zahera alisema Makame alitimiza vyema majukumu aliyompa katika mchezo huo
Makame ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachojiandaa na mchezo dhidi ya Sudan kusaka tiketi ya kutinga fainali za CHAN
Wachezaji wengine wa Yanga walioitwa ni pamoja na mlinda lango Metacha Mnata, Kelvin Yondani, Mohammed Issa na Feisal Salum
Yangadaima27
Uwiii!!! Umefanya nimetabasamu jirani mana saa ka hizi kauli za kudumaza huwa hatutaki kuzisikia 😀😀Hahahaha, Mtani niko Kitwe Zambia ,naona km upepo uko vzr kwako
Kila la kheri ,MtaniUwiii!!! Umefanya nimetabasamu jirani mana saa ka hii kauli za kudumaza huwa hatuzitaki kuzisikia [emoji3][emoji3]
Na mimi naaminu tutawashangaza wengi Mtani.
Amiin Insha Allah Mtani.Kila la kheri ,Mtani
Kumekucha Shadeeya uamke basi mamii, natumaini haya usemayo ndio uhalisia na wala sio ndoto, maana kuna ndoto zingine zinakua tamu sana kiasi kwamba unalaumu kwanini umeamshwa usingizini🤣😂😂Uwiii!!! Umefanya nimetabasamu jirani mana saa ka hizi kauli za kudumaza huwa hatutaki kuzisikia 😀😀
Na mimi naamini tutawashangaza wengi Mtani.
Nitayachukia na kuyaponda mambo mengi ya Yanga lakini kaulimbiu yenu hii nimejikuta nimeipenda na kuikubali tu sijui hata ni kwanini mamii🤣🤣🤣Amiin Insha Allah Mtani.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Nimecheka kwa sauti Ses. 🤣🤣🤣🤣Kumekucha Shadeeya uamke basi mamii, natumaini haya usemayo ndio uhalisia na wala sio ndoto, maana kuna ndoto zingine zinakua tamu sana kiasi kwamba unalaumu kwanini umeamshwa usingizini🤣😂😂
Zidi kuipenda siku zote. Mwishowe uhamie kabisaa. 💃💃Nitayachukia na kuyaponda mambo mengi ya Yanga lakini kaulimbiu yenu hii nimejikuta nimeipenda na kuikubali tu sijui hata ni kwanini mamii🤣🤣🤣
Na unavyopendezaga ukicheka lile cheko lako, uendelee tu kucheka mpenziNimecheka kwa sauti Ses. 🤣🤣🤣🤣
Kuhamia wapi Chura FC!!!? Masikhara hayo ShadeeyaZidi kuipenda siku zote. Mwishowe uhamie kabisaa.
Ndio ndio. 💃💃💃💃 Hamia kwa Wananchi..Kuhamia wapi Chura FC!!!? Masikhara hayo Shadeeya
Hata unipe ile Harrier Tako la nyani rangi dark red au rangi yaitwaje ile maana nyekundu si nyekundu lakini hunisogezi Jangwani Shadeeya🤣😂🤣Ndio ndio. 💃💃💃💃 Hamia kwa Wananchi..
Utasogea tu siku moja Ses. 😜😜Hata unipe ile Harrier Tako la nyani rangi dark red au rangi yaitwaje ile maana nyekundu si nyekundu lakini hunisogezi Jangwani Shadeeya🤣😂🤣