Sawa Mkuu. Ila nadhani tutapata matokeo
Wao 0 sisi 1Jamani naombeni Updates basi mwenzenu niko mbali leo sina namna ya kuangalia wala kusikiliza huo Mpira
Ewaaaa. Nani katutanguliza Kaka?
Bora. ππ
Afadhali. Naombea tupate matokeo leo ambayo yatatupa morali ya tarehe 04.
Nani hao Mkuu?Badoo hawajawa na uwezo wa kutuliza mipira
Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Kengine ako. πππHuwa mnapenda kujifariji na haka kamsemo kenu[emoji16]
PS Machine inakaa vema zaidi
Nipe matokeo mtani acha kujisahaulisha. Ngapi ngapi huko? ππHuwa mnapenda kujifariji na haka kamsemo kenu[emoji16]
Yaani katika usajili wa mwaka huu pale tumelamba dume Mkuu.PS Machine inakaa vema zaidi
Tunataka mje hivihivi ma ushindi wenu mkiwa wanono ili Lunyasi wafanye yaoAfadhali. Naombea tupate matokeo leo ambayo yatatupa morali ya tarehe 04.