Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kabisa mpira una maajabu yake Mtani. 5imba tatizo kujiamini kulikuwa kwingi.
Sawa Mtani ila mjipange sana.Tutajirekebisha kwenye mechi ya mzunguko wa pili.
Wachezaji wao pancha wawa na midevu eti wanamuita sultanKabisa mpira una maajabu yake Mtani. 5imba tatizo kujiamini kulikuwa kwingi.
Mwisho wa siku alishindwaHuyu mama alijua sana kuwajazbisha wachezaji wetu. [emoji17]
Huwa nafurahi sana nikimuona huyo midevu tunapocheza nao Mana ni uchochoro
Ameshazeeka hawajui tu.Huwa nafurahi sana nikimuona huyo midevu tunapocheza nao Mana ni uchochoro
Wamshukuru sana mganga wao ila Hawa raundi ya pili hawatokπππ Ilibakia kiduchu tu Mkuu.
Inauma sana huyu refa sijui simba wlimpa niniNa kuna nafasi moja alipata kipindi cha kwanza na alikuwa ameshatoka kwenda kufunga ila mwamuzi akasema ni offside wakati haikuwa kweli pale.
View attachment 1312904
Hiyo hapo.
Hizi habari akizipata Sesten Zakazaka anaweza kufa kwa preshaWakuu chombo hicho kutoka Tuit Puisant Englebert Mazembe. Huyu mwamba anaonesha ni hatari sana. Jamani kama tutaweza kuwalipa vema hawa watu hii timu inaenda kuwa tisho. Anaitwa Bonyanga Ituku Owe
Inauma sana huyu refa sijui simba wlimpa nini
Mkuu kwan unaishi sayari ya Mars?
Atakuwa kalala anaangalia ceiling board huku analia,mana najua kazipataHizi habari akizipata Sesten Zakazaka anaweza kufa kwa presha
π π π π Na hasa ukiangalia Mapinduzi Cup hiyooo.Hizi habari akizipata Sesten Zakazaka anaweza kufa kwa presha
Cc. mjingamimi πππKwani wewe ulionaje ile mechi,ulikuwa na uwezo wa kushinda?