MTANI SIKU HIZI TUNAWAITA SIMBA MAHIRIZI. πππSisi SIMBA ni wapumbavu sana,sitaki hata kuiona hii timu kwa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23],kunani tena?Sisi SIMBA ni wapumbavu sana,sitaki hata kuiona hii timu kwa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23],halafu cha ajabu Kagere baada ya kukabidhi ile Hirizi kiwango chake kikashuka ghafla uwanjani hapo hapo.MTANI SIKU HIZI TUNAWAITA SIMBA MAHIRIZI. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa!! Hatari sana Mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23],halafu cha ajabu Kagere baada ya kukabidhi ile Hirizi kiwango chake kikashuka ghafla uwanjani hapo hapo.
Sent from Nokia 7 Plus
MUNGU BABA wka mkono wako huko Zanzibar tukutane tena.
Nakuhurumia Mtani sababu usije ichukia zaidi 5imba yako.MUNGU BABA wka mkono wako huko Zanzibar tukutane tena.
Ndugu naona unalazimisha kuibua migogoro ndani ya mikiaMUNGU BABA wka mkono wako huko Zanzibar tukutane tena.