Hivyo Mtani leo zamu yako eee?Hahahahahahahahah Ngoja nicheke tu.
Unadhani hajui basi. Ananichekecha tu hapo.
Bakisha kicheko cha baadae Mtani. ππHahahahahahahahah Ngoja nicheke tu.
Hahahahahahahahah Aisee Maisha haya Kila kheri timu ya Wananchi HahahahahahahahahHivyo Mtani leo zamu yako eee?
Mtani kama nakuona. lol.Hahahahahahahahah Aisee Maisha haya Kila kheri timu ya Wananchi Hahahahahahahahah
Ngoja tuone second halfItakuwa ni hiyo kadi ya Banka basi.
Hakika Mkuu. Japo tulivyo pungufu inanitia shaka.Ngoja tuone second half
Mi mwenyewe nilishangaa mbona zimeisha fasta.Zimeongezwa dakika 5, refa baada ya 3 kapuliza kipenga cha half time
Tumewabana ila tumeshindwa kutumia nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaprove tu ukubwa wetu,lolote linaweza kutokeaHakika Mkuu. Japo tulivyo pungufu inanitia shaka.
Tusubiri tuone.Tutaprove tu ukubwa wetu,lolote linaweza kutokea
Hapa Mtani ni dhahiri umekumbuka jumatatu. ππππHahahahahahahahah Aisee Maisha haya Kila kheri timu ya Wananchi Hahahahahahahahah
Hebu huko umeanza lini kuwa Yanga Mtani.Ila Yanga tunapiga pasi, inanikumbusha ile Barcelona ya Xavi na Iniesta.