NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
wameufyata,,wachawi fc wamekalia mpini mmoja wapo kimyaaa,wanajifanya hawafatiliiKimya sana humu [emoji196][emoji196][emoji196]
Hahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na nyie semeni KMC wamepiga bomu mochwari.[emoji40][emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KMC WAMEPIGA BOMU MOCHWARI AUKILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 16:00HRS DHIDI YA KMC.
Hii inaitwa marehemu kampiga muhudumu wa mortuary[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KMC WAMEPIGA BOMU MOCHWARI AU
Sent using Jamii Forums mobile app
Historia haichezi mpira Shadeeya na unapomuona mtu anajisifia kwa aliyoyafanya jana ujue leo hajafanya kitu! Goli lishang'ang'ania hiloHEBU TUJIKUMBUSHE KIDOGO.
Hivi nani kakuita lakini huku? 😅Wachawi FC kumbe wakipakatwa wanakuwa baridi kweli [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KMC WAMEPIGA BOMU MOCHWARI AU
Sent using Jamii Forums mobile app