Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Feisal Salum, Said Juma Mkapu, Japhar Mohamed hawa ikiwezekana wawaongeze tu Mkataba kwani kwa msimu huu wamekuwa bora zaidi ndani ya Kikosi.
Tena wafanye mapema. Ila mfumo Wa mpira Wa bongo unachekesha sana. Hivi mchezaji kama Feisal anaingiaje ktk category hii kirahisirahisi tu? Ni wazi hatuna jicho pevu,Mana ndo yaleyale unaweza kuta msimu unaisha inajitokeza timu inamchukua for free tunabaki tunang'aa macho tu.
 
Hata na mie nimewashangaa sababu kuna wale wasiotutakia mema hapo lazima watapanga njama ya kutukomoa hivyo si ajabu wakaanza fitna mapema.
 
Hata na mie nimewashangaa sababu kuna wale wasiotutakia mema hapo lazima watapanga njama ya kutukomoa hivyo si ajabu wakaanza fitna mapema.
Kwa sababu ni mchezaji mwenye umri Mdogo na inaonyesha kabisa ana potential kubwa sana,ilipaswa tumfunge na mkataba mrefu kidogo halafu kwenye huo mkataba tuweke kipengele cha kumuacha endapo kiwango chake kitashuka sana. Mana kwa hali ya sasa msimu ukiisha anaweza akajitokeza wakala akamchukua bure kabisa akaenda kumtafutia timu Hata nje na sisi tusipate hata sumuni. Au hata timu yoyote inaweza jitokeza na kumpa malisho mazuri zaidi lakini akaenda bure kabisa na sisi tusipate chochote
 
Hahahaha, huyu si ndio alikua kasaini singida united kisha Mh Mwigulu akampeleka yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…