Ses kwa ulivyoelewa ndio imeleta ile tafsiri ya kwamba siku zote huwa kiswahili ni kipana. 😂😂Huyo kocha ni mtaalam wa jadi nini Shadeeya? Eti kaondoka na orodha majina ili aende akayafanyie mchakato huko aendako kisha ndio arudishe Tanzania ya wale ambao atawaacha! Naona anaenda kumuuliza "babu"
Kinachomaanishwa hapo anaenda kupembua kwa kina nani anatufaa kwa msimu ujao na nani hatufai.Huyo kocha ni mtaalam wa jadi nini Shadeeya? Eti kaondoka na orodha majina ili aende akayafanyie mchakato huko aendako kisha ndio arudishe Tanzania ya wale ambao atawaacha! Naona anaenda kumuuliza "babu"
We ni Mkandarasi nini Mtani unahitaji tenda? 🤪Wanaanza lini kujengaa uwanja au wanasubiri corona iishe [emoji16][emoji16]
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Hebu nipe tathmini yako katika hayo majina yaliyotajwa, unadhani nani hapo hafai kuwepo(garasa) kwenye kikosi chenu cha msimu ujao? Achana kwanza na mtazamo wa kocha, wewe kama Shadeeya mkereketwa wa Wananchi unamaoni gani?Kinachomaanishwa hapo anaenda kupembua kwa kina nani anatufaa kwa msimu ujao na nani hatufai.
Lengo ni kuondoa Magarasa ndani ya timu ya Wananchi.
Mrisho Ngasa jua limeshamchwea kwangu sioni kama anapaswa kuendelea kuwepo ndani ya timu ya Wananchi. Huyo Dante ni mchezaji mzuri ila kwa zile mambo zake za kususa susa kipindi kile kwangu sioni kama anastahili kuwepo kwa timu ya wananchi wamuache ili akajifunze huko aendako kwamba siku zote maisha kuna kupanda na kushuka.Hebu nipe tathmini yako katika hayo majina yaliyotajwa, unadhani nani hapo hafai kuwepo(garasa) kwenye kikosi chenu cha msimu ujao? Achana kwanza na mtazamo wa kocha, wewe kama Shadeeya mkereketwa wa Wananchi unamaoni gani?
Umeeleza vizuri sana. Japo mimi na Wananchi Fc tupo mbalimbali kama polisi na bangi lakini ningependa Mjomba Ngassa apatiwe japo u Manager wa timu au usimamizi wa mazoezi hata kwa timu zenu za watoto. Ni kweli jua limeshamchwea kama mchezaji lakini kwa mapenzi yake shatashata kwa timu yenu ni busara mkalipa fadhila ya kumpatia kitengo ili aendelee kuwepo klabuniMrisho Ngasa jua limeshamchwea kwangu sioni kama anapaswa kuendelea kuwepo ndani ya timu ya Wananchi. Huyo Dante ni mchezaji mzuri ila kwa zile mambo zake za kususa susa kipindi kile kwangu sioni kama anastahili kuwepo kwa timu ya wananchi wamuache ili akajifunze huko aendako kwamba siku zote maisha kuna kupanda na kushuka.
Hawa wawili Kaseke na Tarik Seif wanaweza kuwapa nafasi kwa msimu ujao.
Tutamfikiria hapo baadae kwa sasa tunatengeneza klabu kwanza iwe bora na yenye kuleta ushindani zaidi ya hapa ilipo sasa.Umeeleza vizuri sana. Japo mimi na Wananchi Fc tupo mbalimbali kama polisi na bangi lakini ningependa Mjomba Ngassa apatiwe japo u Manager wa timu au usimamizi wa mazoezi hata kwa timu zenu za watoto. Ni kweli jua limeshamchwea kama mchezaji lakini kwa mapenzi yake shatashata kwa timu yenu ni busara mkalipa fadhila ya kumpatia kitengo ili aendelee kuwepo klabuni
Mmmh. Hapa nichukulie tu kuwa haya ni maoni yakoAndrew Vincent unaweza kumlaumu kwa ile migomo/kususa kwake lakini tambua kua kila mtu anategemea kupata rizki yake kutokea kazini kwake anapotumia muda, nguvu na akili yake kwa wingi. Kinyume chake hua inavunja moyo. Kwa hiyo kama ataachwa basi iwe kwa kushuka kiwango chake au pengine kapatikana wa kucheza vizuri zaidi nafasi yake na wala isiwe kama kisasi eti hua anasusasua
Hakika. Tusubiri tuone mapendekezo ya Kocha sasa.Kwa hao wengine nakubaliana kabisa na maoni yako kwamba wapewe japo msimu mmoja muwaangalie
Mwenyekiti hiyo ni karata yake ya kupunguza mistrust tuliyonayo juu yake. Sasa atudanganye aone! N way Daima Mbele Nyuma Mwiko!!MCHAKATO WA MABADILIKO YANGA SC KUKAMILIKA MAY
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo utakamilishwa mwezi May.
Wapenzi, Wanachama na Mashabiki wa Yanga wamekuwa na shauku kubwa kuona jambo hilo likitokea.
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amewataka Wanachama wa klabu hiyo wakae tayari kupokea mabadiliko hayo "Tumeunda Kamati ambayo inasimamia mchakato huo, tunashukuru kila kitu kinaenda sawa, " amesena "Tumekuwa tukipokea maoni, ushauri na mapendekezo kutoka kwa wadau mbalimbali. Muhimu zaidi tumepata nafasi ya kwenda kujifunza kwa wenzetu waliofanikiwa" "Lengo letu ni kuwa na mfumo ambayo utaifanya Yanga isimame na kuweka historia ya Mafanikio".
Baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo mwaka uliopita, Dk Mshindo Msolla alitangaza suala la mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji kuwa kipaumbele chake cha kwanza..
Hii si mara ya kwanza kwa Yanga kujaribu kubadili mfumo wake wa uendeshaji kuwa kampuni.Tangu mwanzoni mwa miaka ya 2000 Yanga imejaribu mara kadhaa bila ya mafanikio, mivutano baina ya wanachama ikikwamisha zoezi hilo.
Lakini hitaji la mabadiliko wakati huu limekuwa kubwa miongoni mwa Wanachama wa klabu hiyo.
Kama mpango huo utafanikiwa, Dk Msolla ataingia kwenye historia ya klabu hiyo kwa kufanikiwa kumaliza mchakato huo ambao watangulizi wake hawakufanikiwa kuukamilisha.
@Yangadaima
[emoji2] [emoji2]View attachment 1413429
Koh koh koh.
Umeonaeee!! Yaani hapo ndio pa kujitoa kule tunapomuwekaga.Mwenyekiti hiyo ni karata yake ya kupunguza mistrust tuliyonayo juu yake. Sasa atudanganye aone! N way Daima Mbele Nyuma Mwiko!!
Sisi lengo letu ni kujenga uwanja wa kuchezea siyo sehemu ya kukimbilia wachezajiWe ni Mkandarasi nini Mtani unahitaji tenda? 🤪
Mana si kwa kuutamani Uwanja wetu kiasi hiyo.
Tuko mbioni nadhani mabadiliko yakishafanyika tu basi Uwanja utaanza kujengwa. Hivyo Mtani tttullia.
Kabisa.Sisi lengo letu ni kujenga uwanja wa kuchezea siyo sehemu ya kukimbilia wachezaji
Daah afadhaliii bnaNaona Tshishimbi keshamalizana huko
*Habari za manara kumpost post huyu kiungo fundi na tumaneno tulitodariziwa sijui zitaendelea au ndo zitakoma rasmi!?[emoji848]*
Tulisimama kwa dakika moja kuwasaidia kuomboleza. Nasikia na ninyi mlisimama huku mkilia sana wengine nguvu za miguu zikawaishia mkawa mnagalagala eti kweli!?Hivi bado mumesimama kuadhimisha mwezi mmoja toka mulipoifunga Klabu bora zaidi Afrika Mashariki kama mulivyoambiwa na Nugaz au saizi mumechoka mumeamua kulala?
Nawatakia maadhimisho mema ya TherealBM33 day kama ulivyoitwa na msemaji mpya Hersi Said sababu kuifunga Simba SC ni miongoni mwa maajabu ya dunia.
Poor Utopolo Shame on Chura Churani fc.
[emoji2] [emoji2]