Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ikawaje ukawa msimu ule tu sasa? Au hamjashiriki Kimataifa tokea hapo?
Hata kama timu ikiwa nzuri namna gani haina maan kila mwaka lazima iwechukue ubingwa au ifike robo fainali. Tuliteleza kidogo tu kwa wale UD Songo
 
Halafu wanajiita wazee wa kumfuu. Lol.

Wasemage wali bahatisha tu tutawaelewa. Sababu wenzao walio level za juu huwa hawarudi chini zaidi ya kwenda juu.
Hii midomo yenu ndio inatufanya tuhakikishe tunachukua ubingwa wa Ligi back to back zaidi ya mara 10 mfululizo na tulipanga tuwaachie kombe moja la FA sasa hamlipati.
 
Hii midomo yenu ndio inatufanya tuhakikishe tunachukua ubingwa wa Ligi back to back zaidi ya mara 10 mfululizo na tulipanga tuwaachie kombe moja la FA sasa hamlipati.
Hahahaaa. Unadhania ni kitu rahisi Mtani.

Mfunge Azam na sisi tunalipiza kisasi kwa kagera kisha tukutane semi final halafu tuone nani ataingia final. 😎😎
 
Shadeeya kesho tunaanza rasmi kampeni yetu ya kumpokonya tonge mdomoni (kombe) Mnyama Simba.
Naamini timu yetu pendwa Yanga haitatuangusha kwenye hilo, muhimu tushinde tu mechi zetu zote halafu Simba apoteze basi tunachukua Ubingwa wetu kilaini kabisa.
Au unasemaje Shadeeya
Daima mbele 💪💪
 
Heheheheheheheeee!!! We tukebehi tu Mtani.

Utaja shangaa.
 
MAZOEZI YANAENDELEA KWA TIMU YA WANANCHI KUJIWINDA DHIDI YA MWADUI HAPO KESHO.

 
Heheheheheheheeee!!! We tukebehi tu Mtani.

Utaja shangaa.
Hamna Shadeeya mbona naongelea uhalisia kabisa, Simba tayari pumzi ilishakata ndio maana tukawafunga siku ile unafikiri wangekuwa imara tungewafunga?
Shadeeya usikate tamaa mapema nakuhakikishia tunachukua Ubingwa kwanza timu yetu iko imara sana kuanzia kipa hadi washambuliaji, Simba yale ni mazee tu hayana kitu.

Daima Mbele Clubé Deportivo la utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…