mnaipata wapi??Tutashiriki ndio. FA ya kwetu.
Sina cha kushangilia mm , Mechizo mitatu na suluhu moja inahitajika kua bingwa kati ya 9 iliyosalia, tayari n bingwa, huko hatuna shida napo.. yakiwakuta ya kuwakuta lazima nifurahi japo hamna madharaNaona leo ndo umeibuka. Lol
We tulia utaona.mnaipata wapi??
KumbeSina cha kushangilia mm , Mechizo mitatu na suluhu moja inahitajika kua bingwa kati ya 9 iliyosalia, tayari n bingwa, huko hatuna shida napo.. yakiwakuta ya kuwakuta lazima nifurahi japo hamna madhara
Sijakuelewa hapa Mtani?by the way kwann mnamwacha GSM asepe??
Cha asubuhi mpaka jioni, [emoji23][emoji23][emoji23], jioni hautakula maana akina Nicolas Wadada watakuwa washakuchefua tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bina nshapanga nipike chakula cha moja kwa moja. [emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi dodoma wanawafungulia tawi huko nilimsikia yule Eng anasema wanahitajika wanachama mil 1 wenye kulipa ada ya elfu 12 kwa mwaka, mtakua na bil 12 na club itakua mali ya wanachama sio imilikiwe na mtu mmoja akinuna tu hesabu imegonga mwambaSijakuelewa hapa Mtani?
Tutashiriki ndio. FA ya kwetu.
Hii sijapata ukweli wake,mwenye uhakika na hili athibitishe zaidi
Ha ha ha haHahahaaa. Mie alinitia aibu ile siku ya Mkataba wa La Liga mpaka nikasema kwa nini wamemfanyia interview mana alivyokuwa anaongea ni dhahiri hakuwa anajua nini kinaendelea.
Sa sikujua ndio alikuwa anaogopa Kamera ama la. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha haHahahaaa. Sio kina Kichuya tu hadi na kina Sesten Zakazaka na Troisième Ceil . [emoji23][emoji23][emoji23]
Sahihi mkuu!Hakika Mkuu mana hizi mambo hizi ndio mwisho wa siku zinaletaga Mpasuko ndani ya timu mana nimeona sehemu eti Morison anaanza mazoezi tarehe 18.
Unadhania wenzie wanajisikiaje hapo. Mabadiliko yaje ili hizi mambo zife yaani wachezaji wote wawe sawa.
We tulia utaona.
Anataka mpaka achomwe kisu cha chembe ndipo aridhike
Kwani yanga ni mbumbumbu?Jumapili Never Tigere anapiga hat trick yake ya kwanza ligi kuu.[emoji51]
Kwani yanga ni mbumbumbu?
Utafanya kwenye familia yao wasinywe hata maji mana atavyowaringishia watakubali tu wenyewe!Hahahaaaa. Lol
Jezi ,mpyaaaa ya Timu ya Wananchi yenye chapa GSM. 😎
Mbumbumbu hawaelewagi kitu ndugu yangu. Kwa mfano mtu akiomba radhi wanaweza kusema katukana. Wanaendaga anticlockwise ha ha haSi amewaomba radhi lakini Mtani?
Watasema walikuwa sahihi,wanachekeshaga hawa watu basi tu!Wanasemaga kila MUOSHA HUOSHWA. Mlipigaga kelele sana issue ya Chama haya leo zamu yenu.
Ha ha ha vitashushwa daraja hivi shauri zaoNa bado. [emoji28]
Wacha tuonyeshane makali kidogo. [emoji23][emoji23][emoji23]