Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Hahaha Mkuu samehe hii mutu ya Congo Shadeeya.
Mnavyojua kutusemea lol.Hamna pesa, tulieni hivyo hivyo.. msisahau tu kigogo aliwah sema jisiem ni matapeli , na naona hawawaruhusu mkaongea nynyi wenye club yenu wanaongea wao tu
Kutetema? 😳😳Ushaanza kutetema[emoji16]
Tamaa zake tu.Hakuna mchezaji anayependa maisha ya kunywa juice ya muwa na chapati asubuhi[emoji23]
Hahahahaaa. LolAmerudi analia eh,huruma unatia huruma[emoji23]
Yaani nyie mkikaa mnaombea mabaya tu kwa Yanga lol.Ni vizuri kujipa matumaini japokuwa unaona unakaribia kuzikwa
Tamaa zake tu.
Mbona unamtishia Shadeeya amekukosea nini Mkuu.😎Mimi nimeziona goli mbili safi[emoji16]
Yaani nyie mkikaa mnaombea mabaya tu kwa Yanga lol.
Mnatarajia kupata nini kwani? [emoji41]
🙁Haha nimekumbuka ile taarifa, inasema Yondani agomea mazoezi kisa chai.
Utopolo Mungu anawaona
Mbona unamtishia Shadeeya amekukosea nini Mkuu.[emoji41]
Yanga ni kubwa kuliko taasisi yoyote ya Michezo nchini!sasa akikaa nje mnamchezaji gani
Utamuweza huyoo. [emoji2210]
Haya yote munayaona nyie upande wa pili tu. LolNani anawavusha? hv huon hawa jamaa wanataka wakimbia? walitafuta kujitangaza kupia nyinyi na wanafanikiwa sana tu, lengo likitimia hamuwaoni
Yanga ni kubwa kuliko taasisi yoyote ya Michezo nchini!
Hahahahaaa!!! Tulia zaja soon.Leo hutumi picha za wachezaji wakiwa wanafanya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha haHahahahaaaa.
Cc. Yule anayeniandalia maneno ya kukera ikiisha mechi na Namungo. Van pebles. [emoji3][emoji3][emoji3]
Haya yote munayaona nyie upande wa pili tu. Lol
Hahahahaaa!!! Tulia zaja soon.