Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii Aione Danpol . [emoji41]
Club yeyote ikichukua ubingwa hilo swala ni swala la lazima, labda tu hamkua makini

subirin mje pigiwa makofi tena hivyo mwaka 2040..kama utaratibu wenyewe ndio huu anaosema Nugaz hapa , hao viongoz wenu hapo juu mkicheka nao walai mtarudi kwenye kutembeza bakuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…