Mtani una lingine? 😎😎Leo Shomary Lawi hayupo sijui tutashinda?
Hahahaaa. Wameingizwa Chaka hao.Nasikia leo mmetoa sare ya tatu.
Mganga kawadanganya eti mtoe sare nyingi ili mshinde trh 12.
Eti Yanga walitoa sare nne wakashinda pambano mach 8. Na mbmbumbu wakaamua kutoa sare tatu
Nakazia Mkuu. 😎Usiteseke hii ndiyo yangaaaaa bana yenye kuhuisha ubingwa wa simba de mdebwedo uonekane ni sawa na mbeleko ambayo mwenyekuijuwa thaman ni mwana kupakatwa tuuuu .......
Maana huwez ukajuwa km leo mwambereko kakabiziwa kikombe.....