View attachment 1501488
Ila huyu Yikpe bana akiwa mbele ya goli sijui mawazo yake yanakuwaga wapi. 🤔
Ndio Mtani. 😀Mtani nasikia jana Morisson kafunga goli.
Ndio Mtani. 😀
Yees!! Atakuwepo Mtani.Haya, ninatumaini Jumapili atacheza.
Maana hatutaki kisingizio safari hii.
Yees!! Atakuwepo Mtani.
Hahahaaaa. Ubavu huo muutowe wapi Mtani? 😎😎
Asanteeee sana mkuuNakazia Mkuu. [emoji41]
Nalifahamu hilo Mtani. Niseme hata na sisi tuna kila sababu ya kushinda.Hii siyo mechi ya hisani, anayefungwa anaaga mashindano.
Tofauti na ile ambayo tufungwe tusifungwe tunakuwa mabingwa, sasa hivi tuna kila sababu ya kushinda, tena magoli mengi.
Pamoja sana.Asanteeee sana mkuu
Nalifahamu hilo Mtani. Niseme hata na sisi tuna kila sababu ya kushinda.
Jumapili siyo swala la kushangaa jambo ni moja tu kupeleka kilio kule madimbwini, zile 5 zinarudi.Zidi kujihami Mtani ili jumapili usishangazwe na matokeo yatakavyokuwa.
hapo ndo shida hapo.View attachment 1501488
Ila huyu Yikpe bana akiwa mbele ya goli sijui mawazo yake yanakuwaga wapi. 🤔
Acha tu shemela. Unaeza baki umeduwaa tu na usielewe nini kafanya.hapo ndo shida hapo.
Ohooooo. Eti 5. lolJumapili siyo swala la kushangaa jambo ni moja tu kupeleka kilio kule madimbwini, zile 5 zinarudi.
Simba nguvu moja
Sasa huamini au?😀Ohooooo. Eti 5. lol
ni shida shemela.Acha tu shemela. Unaeza baki umeduwaa tu na usielewe nini kafanya.