Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Sikukuu yangu naiona kuharibika na sio kwa kumkosa Morison bali kwa kuiona Sura halisi ya GSM.
Kama alitoka huko kwao kuja kuufuata ni dhahiri anatapatapa tu.Morrison anasema kachoka kula mihogo ya kuchemsha na uji wa sembe usio na sukari.
Wape Salaaaam
Hakika ila sio mbaya ndo soka la bongo hilo.Usajili wa sasa ni wakukomoana tu
Mpaka hapa nakuwa nayapoteza hayo matumaini.
Haipo tena nilisikia mtacheza na Namungo.Nina furaha sana maana tutakutana kwenye ufunguzi wa ligi[emoji16]
Hakika ila sio mbaya ndo soka la bongo hilo.
Shida iko kwa viongozi wa Yanga,, wanafichaficha,, hatimaye ndo ivo tena,,Tatizo uongozi wa Yanga haueleweki,kila mtu tembo
Haipo tena nilisikia mtacheza na Namungo.
Shida iko kwa viongozi wa Yanga,, wanafichaficha,, hatimaye ndo ivo tena,,
Na kama hiyo Msola ndo mzigo kabisa. mmmxxiiieeww.Tatizo uongozi wa Yanga haueleweki,kila mtu tembo
Ntani..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hivi mna uhakika kina Fei toto mikataba yao iko fresh ..huchelew waona msimbaziHaipo tena nilisikia mtacheza na Namungo.
Sasa unabisha wakati ni kiongozi wa TFF ndo aliyasema hayo ile siku ya ASFC final na alisema itachezeka mkoani huko.Umesikia mwenyewe iyo
Hata Luis Mick pia, nyinyi ndio mlituonyesha.. tunawashukuru kwa hayaKama alitoka huko kwao kuja kuufuata ni dhahiri anatapatapa tu.
Nina hakika bila Yanga hata musingemuona.
yuko sahihiUmesikia mwenyewe iyo
Na kwa nionavyo sio leo wala kesho.Mpaka mpate uongozi uimara ndo Yanga itakua timu inayoleta upinzani mzuri kwa Simba Sport Club[emoji16]
hao ndio gsm wako tayari kutoa mil 150 kwa mwamnyeto ambae haijulikani yanga atapafomu au atadrop kuliko kumbakiza Tshishimbi kwa mil70 au juma Abdul kwa mil30Mil 200 GSM wanazitoa wapi kwa mchezaji mmoja
Aaah!! Washanichosha hawa.Ntani..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hivi mna uhakika kina Fei toto mikataba yao iko fresh ..huchelew waona msimbazi
Umekumbukaee ?? hao jamaa sio wa kuwaamini, ..niliwasikilizaga mara mbili nikaja hapa nikasema GSM sio wa kuwaamini sana , muwe nao makiniIpo haja Mtani. Na hata yule Injinia nimeshamshusha thamani. πππ
Danpol alishawahi kuyasema haya [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Tunapoelekea nitamwamini.
mashabiki na viongozi vitu viwili tofauti,, hasa ikifika mambo ya biashara mezani,Na ligi msimu huu itawahi kuanza wawe makini wasishuke daraja tukakosa wa kumtania