Utopolo mnajua kujifariji,kama timu kubwa kama hizo zinamuwania wewe ni nani umdharau mchezaji kama huyu!View attachment 1534303
huyo jamaa ni bonge la mchezaji, alikuwa anawaniwa na Al Ahly na Mamelody, All Ahly walikuwa wanamtaka kwa mkopo wa majaribio miezi 6 wakala wake akachomoa.
Hivi Simba kwenye ile kesi munahusika upande gani mbona kama kesi mumeivaa nyie wakati ni ya Yanga na Morison?KESI YA MORISON DHIDI YA YANGA
Mkataba aliosaini wa miezi sita na Yanga haukua halali kwasabau Passport ya Morrison inathibitisha aliingia nchini Tarehe 17 wakati dirisha la usajili lilifungwa tarehe 15. Hivyo mkataba wa Morrison na Yanga ni batili.
ADHABU ATAKAYOKUTANA NAYO YANGA
Moja ya adhabu watakayokutana nayo Yanga ni kupokonywa point zote amabazo Morrison amecheza na kufungiwa madirisha mawili ya usajili.
KIKAO KINAENDELEA HUKOO
Hahahahaaa. Na badooo!!Baada ya Manara kukanusha kuhusu chama, Deo kanda nae akanusha, what a disappointmen, chama wenu na deo kanda ni yule kimwana shomara.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1532814
Sijakufokea bana. πππ nimekwambia tu Mkuu.Usinifokee Basi Hapo Nimeuliza Tu Kwa Lengo Kupata Jibu Nifahamu Vizuri [emoji23][emoji23]
Tunaona danganya zenu...lazima tutie pressure, lazima rungu liwapate, hamna pa kujifichaHivi Simba kwenye ile kesi munahusika upande gani mbona kama kesi mumeivaa nyie wakati ni ya Yanga na Morison?
Itapendeza zaidi japo nawaza hakuna taratibu kweli za mtu kuwa Katibu Mkuu hasa kwa upande wa Wanachama katika kuhusika kumuidhinisha?Mtani
Vipi akiwa Katibu Mkuu na Mratibu Mkuu wa mabadiliko kuelekea Yanga mpya ,si itapendeza ?
Sekretareti ya sasa iwajubike kwake
Aanze na Kocha ,amalizie usajiri
Apange sasa utaratibu mpya kazi isonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani tutawasumbua sana kipindi hiki. Halafu eti mkikaa mnasema Senzo ni nani wacha aende Lol?Admin wenu kaamua KUKATA MZIZI WA FITNA..
Mwenyekiti wetu ni MSHINDO MSOLA HUYO MWINGINE HATUMJUI[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
KAZI IPO.
YA RABB NAOMBA UZIMA View attachment 1532917View attachment 1532918
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mtani hivi kule Wasafi waliishia wapi eti kuhusu hili? πππFredrick Mwakalebela aliwaonya mapema huu uhuni wa kufoji mikataba mkamuona zuhu.
TFF lazima itoe fundisho kwenu leo.
Mtani tutawasumbua sana kipindi hiki. Halafu eti mkikaa mnasema Senzo ni nani wacha aende Lol?
Hii kufuatilia nini Yanga imeandika kuhusu Senzo ni dhahiri mnaumia sana kwa alivyosepa.
Hahahahaaa. Hatuna pupa sie cha ajabu Nyie ndio mmegeuka wasemaji wa Morison. Lol.Leo ni kilio kwa Wananchi
Unakimbuka uliwahi sema Utatembea na nani sijui kama Simba itafanyaje vile? π€ Unakumbuka? Je ulifanya.Hahahahahahahahah Mkishinda hii kesi ya Morison leo.
Najipiga BAN ya maisha JF.
Nb.
Ujanja ujanja wenu na GSM leo umefika mwisho.
Hahahaaaa. Punguza sauti wengine watalazwa huko.Mwaka huu tutawauwa. Deo Kandaaaaaaaaaaaaa
πMbona kitambo, tumewanyoa mikia
Halafu mkikaa eti oooh. Senzo anacheza namba gani. π€£π€£π€£π€£Alafu nyinyi Yanga, kila siku nawaonya kuhusu GSM.. ni wapi hivi wametanganza Senzo ni mwajiriwa wenu au hata GSM ? tulieni kwanza, unaweza shangaa anatupwa kwenye kampuni za GSM Zambia huko