Wacha iwavae ndo watakapokoma.Jii Esi Emu wanyang'anywe passport kabla hawajatoroka nchini. Kuna kesi nyingine ya jinai inafuata
Ni antonio nugazi nini.Yule msomali anayejiita engineer,ni kweli engineer?au ndo kama kina Prof J ?Viongozi Yanga matapeli tupu. Hakuna professionalism.Bado kuna barua waliyoifanya kama vile imeandikwa na mchezaji Sure Boy, kumbe wameiandika wao, mesenja akajichanganya akaipeleka ofisini kwa Azam badala ya kumpa Sure Boy apeleke mwenyewe. Kuna kesi inakuja, Azam wanajipanga
Naona mmepata pa kupigia kelele sasa. Lol.Takukuru
Takukuru
Tunawaomba muingie haiwezekani lazima Watu wawajibishwe kwa hili.
Morison hajawahi kuwa Mwizi,Ni mchezaji mzuri sana,Hayo mengine mtuachie sisi sasa.....Hahahahaahahaaaaa.
Haya kila la kheri ma mwizi wenu Mtani.
Pazeni sauti Mtani hatua zichukuliwe.Forgery mfanye nyie na kamati muidanganye nyie hii siyo sawa.
Pigia mstari hapo kwenye maneno SIO WAJINGA.Ila kuna haja ya uongozi kutudadavulia yaliyoendelea huko kwa kweli.
Tulishasema tangia mwanzo mikia sio wajinga. Haya sasa inabakia aibu tu.
Wacha weeeMorison hajawahi kuwa Mwizi,Ni mchezaji mzuri sana,Hayo mengine mtuachie sisi sasa.....
Hahahaaa. Kwa kilichotokea kejeli tunazipokea tu Mtani.Msikate tamaa Utopolo hamjachelewa sana Msajilini BERNARD MEMBE
Pigia mstari hapo kwenye maneno SIO WAJINGA.
na ukisema hivyo ina maana wajinga wapo[emoji196][emoji196][emoji196]
Uneducated
Dog
Monkey
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
LIGI INAANZA LINI KWANINI ISIANZE LEO Hahahahahahahahah
We mtani pekeako ndo haupo kwenye kundi alilolisema Luc, hivi kwa nini ulianza kushabikia UtopoloIla kuna haja ya uongozi kutudadavulia yaliyoendelea huko kwa kweli.
Tulishasema tangia mwanzo mikia sio wajinga. Haya sasa inabakia aibu tu.
Yanga na nyie mtulie.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hii itakua wanatupoza tu kama ya Manara na kwenda Fifa..[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Wanaona aibu tu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mtani Utopolo wenzio hawataki kukubali, wakati Kamati imewastahi Wasipelekwe mahabusu kwa kufoji mkataba.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Dingi huyo yaani anaipenda Yanga mbaya. Miaka hiyo nipo nyumbani ilikuwa Yanga ikishinda ujue siku hiyo kama ni soda tutanunuliwa za kutosha na ikitokea imefungwa basi ujue siku hiyo asikosewe kwani ikitokea ni kichapo ndo kitatembea.We mtani pekeako ndo haupo kwenye kundi alilolisema Luc, hivi kwa nini ulianza kushabikia Utopolo