Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

*TANGAZO LA KUPOTELEWA*
_
_NDUGU WANA GROUP NASIKITIKA KUTANGAZA KUPOTELEWA NA BABU YANGU MWENYE UMRI WA MIAKA 63. MARA YA MWISHO ALIVAA SHATI LENYE RANGI YA UGORO NA SURUALI NYEUSI. KWA YEYOTE ATAKAYEMUONA NAOMBA TUWASILIANE KUPITIA KWENYE GROUP HILI. NA PIA KWA WALE WALIOPO DAR ES SALAAM NAOMBA WANISAIDIE KWA KUPITA KWENYE MAJENGO YANAYOHUSU KLABU YA SIMBA TAFADHALI. NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU![emoji120]__

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri siku simba inacheza, hakikisha unawahi uwanjani, utamwona akiwa buheri wa afya tena akiwa anapata ukwaju baridi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante.. lakn nikujuze tu Papa Molinga alikua bora kuliko huyo mshambuliaji wenu , mwaka mzima hana goli

ila ligi yao kule huenda ni ngumu, who knows, anaweza fanya vizuri
Hiyo si sababu Mtani na ndio maana hata kipindi Lamine anakuja kwa Wananchi mlisema oooh hamna kitu hapo oo mara sijui alikuja majaribio kwenu mkamuona kiwango kiko chini lakini unamuona sasa hivi alivyo.

Anafanya vizuri japo mapungufu machache hayajakosekana kwake.

Hivyo usishangae akawa mzuri mbaya.
 
Tuna washambuliaji ambao ndani ya miaka mitatu wana zaid ya goli 120 kwa pamoja..hatuwez kwenda hangaika na mtu wa kufunga goli level za molinga..huyo ni saiz yenu
Wastaafu FC. LolπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…