Kapiga ramli akaona njaa kali ya mishahara kuanzia wachezaji mpaka makocha inanukiaNasikia kocha kala kona
Itakua kasikia bakuli linaanza kupita, akaona isiwe tabuKapiga ramli akaona njaa kali ya mishahara kuanzia wachezaji mpaka makocha inanukia
Hahahaaa!!! Hebu hukooo!!Huyu dogo tutamuangalia kama anajua tutamchukua
Uuuwiiiii!!!
Kabisaaa!! Waliweza kwa Morison hivyo wasidhanie ni kwa kila mchezaji itawezekana.Msikalili maisha
Wwweeeeeeuweeeeeee.π€£π€£π€£π€£π€£π€£Yanga ndo timu ya taifa, timu ya wananchi, timu ya baba, timu ya mama, timu ya bibi na babu pia..
#daimaMbeleMwikoNyuma
Piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
[emoji276][emoji276][emoji276]
Nasikia kocha kala kona
Kapiga ramli akaona njaa kali ya mishahara kuanzia wachezaji mpaka makocha inanukia
KWANI MUNATESEKA? πππItakua kasikia bakuli linaanza kupita, akaona isiwe tabu
Twendeni tukaujaze.
Viungo vya hao wazee vilishakakamaa kifuatacho ni kuvunjika vunjika tu watapokutanya na mnyumbuliko Wa huyu bwana mdogoHuyu mwanamitindo aliefanana na dada ake ataweza kupenya ukuta wa Onyango na Wawa kweli?
Mtani malizaneni na ndairagije awe head coach wenuHahahaaa!!! Hebu hukooo!!
Mmeshatugeuza Yanga kuwa akademi yenu. ππ Niseme tu mlifanikiwa kwa Morisson ambaye ana kiroho cha tamaa na si kwa wengine.
Nilicheka sana jana niliona video moja Vijana wa Wananchi wanaimba kuwa huyu Calinyos ni mjukuu wa Onyango. ππππViungo vya hao wazee vilishakakamaa kifuatacho ni kuvunjika vunjika tu watapokutanya na mnyumbuliko Wa huyu bwana mdogo
Tunasikilizia tuone kama leo watatupa taarifa mana uongozi jana ulisema soon watamtanganza Kocha Mpya.
Tulieni dawa iwaingie, tutaelewana tuπ€£Uuuwiiiii!!!