Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahaha, huyo Senzo ili asionekane Longo Longo ,hapo yanga apige kazi na awe mvumilivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli kashayakanyaga na pengine hapo alipo anajutia maamuzi yake. Lakini ndio haiwezekani tena kuondoka maana itaharibu sana CV na image yake. Itabidi avumilie tu yote atakayokutana nayo angalau afikishe japo miezi sita
 
Amalize mwaka kabisa ,na watu waone kazi yake kwa vitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…