Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tukiwaambia timu inaongozwa na viongozi walevi wanapanic! Ona leo walivyoingizwa chaka, wamepangwa mistari airport kama wanasubiri mgao wa ubwabwa wa mheshimiwa Hashim Rungwe!
Kwani unateseka Mtani.

Tuliopigwa na jua pale Uwanjani tuko kimyaaa wala hatuna habarrri cha ajabu wewe uliyekuwa unatusubiria utuone kiganjani ndo maumivu mpaka kooni. Lol
 
Ila 5imba safari hii wamefunika bana kuamua kuwapa ajira wastaafu. 😂😂
 
Achana na habari za madela ya upande wa pili

Achana na habari ya kwenye logo ya mikia kutolewa neno "nguvu moja"

Achana na habari ya mikia kuwekewa brand ya "Mo foundation" kwenye jersey yao na kushindwa kumhoji kanjibai kwa kuogopa atasusa

Leo wananchii tutazindua jersey zetu mpya hopely zitakua Kali kuzidi za last season

Ukinuna uwe na sababu[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…