Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

working day jana kwani mimi mpiga dili nikachomeke na jua
Mkonga niliomaanisha ni sawa na mzigo nimebeba mimi iweje maumivu upate wewe.

Na kama sio mkonga iweje uone tunapata tabu wakati wewe si mmoja ya wanaopata hiyo tabu? Au na wewe ulienda Airport jana?
 
Ndugu zangu wananchii na hata mikia pia sio mbaya j2 tukajumuika pamoja kwenda kumaangalia mchezaji ghali zaidi east Africa(carinhos)

Kwakua ndugu zetu mbumbumbu fc au mikia fc au mnyero fc ni wepesi kusahau,napenda kuwakumbusha tu kua mabingwa Mara nyingi wa hii nchii ndo tumeanza upyaa..

Na kuhusu hayo makombe ambayo wameyachukua,sisi tuliyachukua miaka kumi iliyopita

18 October viti visivunjwe tu.
 
JAMANI MNASALIMIWA SANA NA MZEE ONYANGO PIA AMEOMBA TUMFIKISHIE TAARIFA KWA NDUGU ZAKE HUKO KENYA WANAOSEMA WAMEPOTELEWA NA MZEE WAO KWAMBA YEYE YUPO VEMA NA BUHERI WA AFYA NA ANAPATIWA MATUNZO MAZURI TU KATIKA KITUO KIMOJA CHA KULELEA WAZEE HAPA TANZANIA KINACHOITWA SSC ELDERS CENTER!!
 
Hahahaaaa
 
RASMI: Kocha mpya wa klabu ya Yanga ni Zlatko Krmpotic, raia wa Serbia ambaye ameingia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo.

Katika hatua nyingine, Kocha huyo anatarajiwa kuwasili kesho jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki kilele cha #WikiYaMwananchi

Zlatko aliwahi kuhudumu katika klabu za TP Mazembe, Zesco United na APR.
 
Zlatko Krmpotic hakuna kocha hapo
February 2017 Alikuwa kocha wa Zesco united
November 2017 Wakamfukuza
January 2018 Akawa kocha mpya wa Jwaneg Galaxy
July 2018 Wakamtimua
February 2019 Alikuwa kocha wa APR
June 2019 Wakafukuza
July 2019 Alikuwa kocha wa Polokwane city
November 2019 Baada ya mechi 5 tu Wakamfukuza .

Ni bora mngempa timu Julio tu.
 
Utopolo nyie muna nin lakin ,makombe mulichukia miaka kumi iliyopita kwaiyo huo usajir munaosema mchezaj gar mumesajil kwa ajir ya nn,kama mulichukua miaka kum kwaiyo wenzenu sasa iv wasichukue kwa sababu nyie mulichukua miaka kum nyuma ,kuna utopolo mmoja anasema uyo mchezaj wenu ghal kasajiliwa dollar 500,muna shida nyie
 
Kajifunze kuandika kwanza.
 
Aisee hapo tumepigwa hamna kocha hapo. 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…