Zlatko Krmpotic hakuna kocha hapo
February 2017 Alikuwa kocha wa Zesco united
November 2017 Wakamfukuza
January 2018 Akawa kocha mpya wa Jwaneg Galaxy
July 2018 Wakamtimua
February 2019 Alikuwa kocha wa APR
June 2019 Wakafukuza
July 2019 Alikuwa kocha wa Polokwane city
November 2019 Baada ya mechi 5 tu Wakamfukuza .
Ni bora mngempa timu Julio tu.
Hakuna Cha kujibu hapo kinachoeleweka. Vyema ujifunze kuandika kwanza ili ujumbe wako ueleweke kwa wasomaji.Kajifunze kujibu hoja
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Zlatko Krmpotic hakuna kocha hapo
February 2017 Alikuwa kocha wa Zesco united
November 2017 Wakamfukuza
January 2018 Akawa kocha mpya wa Jwaneg Galaxy
July 2018 Wakamtimua
February 2019 Alikuwa kocha wa APR
June 2019 Wakafukuza
July 2019 Alikuwa kocha wa Polokwane city
November 2019 Baada ya mechi 5 tu Wakamfukuza .
Ni bora mngempa timu Julio tu.
Huyo kocha ndo chaguo la senzo?
Mentor wa utopolosenzo kama nani yanga?
Au laliga wameshauri apewe timu?senzo kama nani yanga?
Ni wivu tu. πAisee hapo tumepigwa hamna kocha hapo. πππ
Tulishasema mtakuwa sana wachambuzi mwaka huu.Zlatko Krmpotic hakuna kocha hapo
February 2017 Alikuwa kocha wa Zesco united
November 2017 Wakamfukuza
January 2018 Akawa kocha mpya wa Jwaneg Galaxy
July 2018 Wakamtimua
February 2019 Alikuwa kocha wa APR
June 2019 Wakafukuza
July 2019 Alikuwa kocha wa Polokwane city
November 2019 Baada ya mechi 5 tu Wakamfukuza .
Ni bora mngempa timu Julio tu.
Hahahahahahahahah hakuna kocha hapo mmepigwa za mbavu.Tulishasema mtakuwa sana wachambuzi mwaka huu.
Ahsante kwa taarifa.