Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Bado kesho sasa si ajabu mshabiki wa Mikia ndo akaanzisha uzi wa Siku ya Mwananchi lengo tukifungwa waseme tumekimbia uzi.
Mbona unajihami sasa? Acha uoga ya kesho shughuli yenu hawawezi kuwafunga watawastahi.
Uzi tutaanzisha tarh 6 mnakapocheza na prison
 
Kama hamnunui magazeti hata mkipambwa unadhania watafanyaje?

Yaani nyie ni wazee wa vichwa vya habari tu. Teh teh.
Gazeti lenyewe ukurasa wa mbele wote ni utopolo tu. Tena habari zilezile.
 
Mbona unajihami sasa? Acha uoga ya kesho shughuli yenu hawawezi kuwafunga watawastahi.
Uzi tutaanzisha tarh 6 mnakapocheza na prison
Sio kujihami tunawajua nyie.

Ooh. Haya muanzishe tu sisi updates zetu tunazimwaga humu humu.
 
Bado kesho sasa si ajabu mshabiki wa Mikia ndo akaanzisha uzi wa Siku ya Mwananchi lengo tukifungwa waseme tumekimbia uzi.
Wana weweseka na kesho watatoa macho luningani kuangalia burudani kutoka kwa Carlinhooo kijana fundi alieletwa duniani kwa ajili ya kuwanunisha mikia.
 
Kocha mpya wa Yanga SC ,Zlatko Krmpotic amewasili salama nchini na kupokelewa na afisa habari Hassan Bumbuli.

Karibu sana Tanzania karibu Young Africans

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…