Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mkuuu
Hebu tulia kwanza tumalize shughuli yetu kesho alafu tutakuja kubishana maana nyie si ndo mnachotaka tubishaneee wakati mshasema nyie hadhi zenu Tp mazembe sasa si muende mkabishane na Tp mazembe huko.
Hahaa sawa Mkuu 👊
 
Mara waseme level za Barca, hawa mbumbumbu buana.
 
Mkuuu
Hebu tulia kwanza tumalize shughuli yetu kesho alafu tutakuja kubishana maana nyie si ndo mnachotaka tubishaneee wakati mshasema nyie hadhi zenu Tp mazembe sasa si muende mkabishane na Tp mazembe huko.
Hahahahaa. Ubavu wa kubishana na Mazembe wautowe wapi hawa na ndio sababu hata yule ropo ropo wao akiongea sentensi mbili basi ya tatu anataja Wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…