Daah nimeingiwa na huruma ππTuache. ππ
Shem hawa jamaa bana kwa kujikweza hawajambo na baada ya Barca kupigwa nane na Bayern Munich wakageuka eti wao kwa sasa ni level za Bayern. πππ
Kweendraaaa. πDaah nimeingiwa na huruma ππ
Sijambo Mtani. Habari? Hapa niko kamili kamili kwenda kuwa sehemu ya watakaoujaza uwanja Mtani.Habari yako Mtani, maandalizi ya kesho yakoje?
Sijambo Mtani. Habari? Hapa niko kamili kamili kwenda kuwa sehemu ya watakaoujaza uwanja Mtani.
Nasikia kesho munaachiwa na Namungo eti?
Yap nipo na Mzee Onyango tunaota jua hapa hahaa. πMtani Unaota ama?
Daah!!!Kama kawaida yetu kuachiwa, kama nyie mlituachia tukawafunga 4, Namungo ni nani atukatalie?
Acha jeuri wewe.Hahahahaa. Ubavu wa kubishana na Mazembe wautowe wapi hawa na ndio sababu hata yule ropo ropo wao akiongea sentensi mbili basi ya tatu anataja Wananchi.
Mpage shikamoo yangu hebu huyo m babu. ππYap nipo na Mzee Onyango tunaota jua hapa hahaa. π
Kwani uongo hamuezi simama sehemu moja na wale watu.Acha jeuri wewe.
Kaone kalivyojibu kipoole.
Toooba πββοΈπββοΈπββοΈ
Zimefika vipi huko jezi tayari? πMpage shikamoo yangu hebu huyo m babu. ππ
Tumeshasema msubiri na kesho mje na zile za msimu uliopita pia jezi watakazovaa wachezaji kesho basi hizo ndo jezi mpya ambazo soon zitafika na kuanza kuuzwa kwenye maduka mbalimbali.Zimefika vipi huko jezi tayari? π
safari hii lazima ijirudie tuLol. Uzuri wa hizi vitu huwa hazijirudiagi kirahisi hivyo mtasubiri sana.
Sijambo Mtani. Habari? Hapa niko kamili kamili kwenda kuwa sehemu ya watakaoujaza uwanja Mtani.
Nasikia kesho munaachiwa na Namungo eti?
HahahahaKama kawaida yetu kuachiwa, kama nyie mlituachia tukawafunga 4, Namungo ni nani atukatalie?
Mtani una sample ya jezi zenyewe ?Tumeshasema msubiri na kesho mje na zile za msimu uliopita pia jezi watakazovaa wachezaji kesho basi hizo ndo jezi mpya ambazo soon zitafika na kuanza kuuzwa kwenye maduka mbalimbali.
@Hassanbumbuli