Gsm kaamua mwaka huu lazima vikwapa vinyanyuliwe iwe jua au mvua
Hii nzuri inatoa picha kwamba chemistry itapatikana tu
Kama kule kwa walioendelea asee
Umoja Wa mataifa!Yanga taifa kubwa
🙏🙏🙏 Shukrani Mtani.
Ninyi hakuna hata mwenye unafuu wote ni Mbumbumbu na Minyero FC tu!
Ha ha haEti wanasema kaiga. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati yule alishuka nayo kuwasapuraiz 5imba mana hawajuagi helikoputa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtani sipatii Picha utakavyokua Ligi ikianza, mkiaanza kufanya utopolo wenu maana sio kwa matumaini mlionayo