HongereniKuna wale walitamba oooh tumepata Points 06 nje ya Taifa haya semeni na sisi tumefanya nini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante Ntani!Hongereni
Bahati imekua upande wenu michezo mitatu sasa mnatembelea nyota
🤣🤣🤣🤣Pumbavu sana Mtibwa.
Nyie mlipotoka nao sare mlitamba sana Mtani.Pumbavu sana Mtibwa.
Wamenichafulia I jumapili yangu hawa wajingaNyie mlipotoka nao sare mlijiona mnajua sana Soka Mtani.
Pole Mtani. Tugange yajayo sasa.Wamenichafulia I jumapili yangu hawa wajinga
Walipata nneKuna wale walitamba oooh tumepata Points 06 nje ya Taifa haya semeni na sisi tumefanya nini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe nimewaongezea 2. 😅😅Walipata nne
Tutajua ubora wa beki zako tar 18 sio vinginevyo.Beki line ya yanga wangeipata simba ingekua timu tishio sana
Hongereni
Bahati imekua upande wenu michezo mitatu sasa mnatembelea nyota
TUNAANGUSHA MOJA MOJA TU. [emoji28][emoji28][emoji28]
Tutajua ubora wa beki zako tar 18 sio vinginevyo.
Yaani bado una ujasiri Wa kutupigia kelele na vile vizee vyako vikina Mzee kretusiTutajua ubora wa beki zako tar 18 sio vinginevyo.