Bongo ya mpira we iache tu ndugu yangu. Siasa ya Yanga na Simba ni zaidi ya hizi tunazoziona kwenye majukwaa kipindi hiki kuelekea October 28Hili suala bado linaendelea tu ?
Hahahaha ,kweli Bongo Nionso ( nyoso ) nilijua limeisha ,ila ndio soka la bongo hiloBongo ya mpira we iache tu ndugu yangu. Siasa ya Yanga na Simba ni zaidi ya hizi tunazoziona kwenye majukwaa kipindi hiki kuelekea October 28
Miyayusho sana wangu. Yaani watu wapo kihuni kihuni tu. Kama walituambia wamepeleka shauri CAS sasa hzi porojo za nini? Kuna siku tutawatoa kwenye nafasi walizo nazo kwa vibokoIla bana Bro mi naona hizi mambo kama zinaturudisha nyuma tu saa hii badala ya sisi kuangalia mengine tunamzungumzia mtu mmoja kila leo. Khaaa.
Mie nadhani wangefanya kimya kimya saa hii tukaelekeza nguvu zetu kwenye VPL.

Mwalimu kama mwalimu
Ujinga ujinga tu! Yaani natamani hawa wanaoendesha mpira wetu kihuni huni siku moja watirirshwe na bakora hadi wakimbie makwaoHahahaha ,kweli Bongo Nionso ( nyoso ) nilijua limeisha ,ila ndio soka la bongo hilo
Hahahaha, wale walioenda jela kwa ubadhirifu,sasa wawapeleke wengine kwa madudu kama hayoUjinga ujinga tu! Yaani natamani hawa wanaoendesha mpira wetu kihuni huni siku moja watirirshwe na bakora hadi wakimbie makwao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa mjichanganye MJE NA LEO TAIFA NA VIJORA VYENU MUONE TUTAKAVYO WAPIGA Mbwa ninyi
..Leo mko na toto lenu, pigeni basi walau 3-0 ..muoshe nyota
Mechi ni saa moja usiku. Kuhusu ushindi leo ni 3+..
Mkuu samahan naomba kujua Leo mechi ya Yanga sangap?
Naona zikipatikana goli 4 kwa 4 (Yanga 4 na coastal 4) utalizika zaidi kuliko ushindi wa Yanga goli moja.Chini ya bao3 leo Zlatco itabidi atueleze inakuaje Gwambina wanaweza kufunga goli mbili sisi hatufungi[emoji849][emoji849][emoji849][emoji1745]