Asante mtoto mzuriRatiba yetu ya mechi za Ligi Kuu kwa mwezi Octoba.
View attachment 1598075
Alipigwa 6 na vitalo yake simba dayMi ka huyu ndo nimemuona mida hii hata sijawahi kumuona cha zaidi naona wanaandika tu kaifunga Taifa Stars na mechi yenyewe ya Stars hata sikuangalia. Lol
Inabidi niende huko mitandaoni nikamchimbe.
😂😂😂
Wamepita Makocha weengi hapo Chura FC tena wengine kwa mbwembwe nyiiingi lakini mwisho wake mnawafungashia virago waondoke zao. Mwambieni aje taratibu, aje kwa heshima na adabu zote akijua kabisa kuna Mzee wa Pori, Lunyasi ambae hakawii kukitia mchanga kitumbua chake cha ajira hapo Bonde la kulimia mpungaKOCHA WA YANGA CEDRIC KAZE YUKO SAFARINI NA ANATARAJIA KUTUA LEO KUJA KUKIFUDISHA KIKOSI CHA WANANCHI.
Alipigwa 6 na vitalo yake simba day
Namba 19Una uhakika?View attachment 1600791
Jina lake liko wapi hapo?
Kama una kikosi ambacho yeye yumo kilete hapa tuone.
Unadhani hata kama angecheza angefanya nini Shadeeya angezuia vipi goli 6 au unafikiri angefunga??Una uhakika?View attachment 1600791
Jina lake liko wapi hapo?
Kama una kikosi ambacho yeye yumo kilete hapa tuone.
Oooh.Namba 19
Mikia kwa magazeti tu MashaAllah. 😂Wamepita Makocha weengi hapo Chura FC tena wengine kwa mbwembwe nyiiingi lakini mwisho wake mnawafungashia virago waondoke zao. Mwambieni aje taratibu, aje kwa heshima na adabu zote akijua kabisa kuna Mzee wa Pori, Lunyasi ambae hakawii kukitia mchanga kitumbua chake cha ajira hapo Bonde la kulimia mpunga
Siku ya siku msije sema hatukuwaambiaMikia kwa magazeti tu MashaAllah. 😂
Kujifariji muhimu lakini.Siku ya siku msije sema hatukuwaambia
Tunawatakia mema sisi ujue! Hatutaki mje msononeke. Tunawapa ushauri wa bure kua mjiandae kisaikolojia pamoja na huyo Kaze wenuKujifariji muhimu lakini.
Tunaikataa Simba kwenye vazi la starsMAAJABU WANANCHI HAWAITAKI NCHI YAO
Anaandika @exaud_msaka_habari
Kama umepita mitandaoni humu utakutana na baadhi mashabiki wa Yanga ambao wameamua kuisema vibaya na kuikataa Taifa Stars kwa sababu zao ambazo ukiziskia huwezi kuelewa
Yanga imekuwa ikijulikana kama Timu ya wananchi na tunachojua hakuna mwananchi ambaye hana nchi yake na nchi ya wananchi wa Yanga ni Tanzania sasa mbona hawaitaki?
Unaweza ukaona kama ni utani wanafanya ila wanamaanisha kabisa, wanaigomea TFF kwa madai kuwa wamekuwa hawatendewi haki katika baadhi ya Mambo ila nachojua mimi Taifa stars sio Timu ya TFF ni Timu ya Taifa.
Hivi unajiitaje mwananchi huku unaikataa nchi yako kwa sababu ambazo hazipo, na hata kama sababu zipo hakuna sababu inayoweza kumfanya mtu akatae nchi yake.
Mashabiki wa Soka wa Yanga ni kweli wana jazba sana zama hizi kutokana na mwenendo wa Club kwa miaka ya hivi karibuni ila haitoshi kuwa sababu ya kumalizia hasira kwa Taifa stars, na sio Yanga tu shabiki yoyote wa timu yoyote anayesusia timu yake ya Taifa ni Mshamba.
Ila pia kama wameamua kuisusa nchi yao basi wakae kimya kuitukana timu na kuwasema viongozi wa TFF watuache sisi ambao hatuna usimba na Uyanga tubaki na Stars yetu.
Inawezekana uongozi wa Yanga haujakemea hili kwa sababu unaona ni jambo dogo ila sasa wanatakiwa kusema kitu, kuwafundisha mashabiki wao maana ya ushabiki na uvumilivu wake.
ALL IN ALL TAREHE SABA WASIJE WAKAIGOMEA NA TIMU YAO (Natania)
Ndege ya KLM IPO ANGAN INASHUKA IPO KM FT 10,100 INAKARIBIA KUTUA HAPO DAR NDO KOCHA WENU KAIZE YUPO NDAN HAPO BADO KM DAKIKA 21 USIKU HUU YA TAR 15/10/2020. MPOKEENI NYIE WASHAMBA NIMEWASHTUA ANZENI KUANGAZA MACHO JUUKOCHA MPYA YANGA KUTUA DAR LEO
Kocha Cedric Kaze anayekuja kuinoa Yanga SC, yupo safarini kuja nchini Tanzania kwaajili ya kuanza rasmi majukumu yake mapya.
Afisa Habari wa timu hiyo Hassan Bumbuli, amethibitisha ujio wa Kocha huyo ambaye mapema leo alikuwa jijini Amsterdam Uholanzi, kwaajili ya kubadilisha ndege ya kumleta Tanzania.
Kaze anatarajiwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa nne usiku leo kwa ndege ya Shirika la Ndege la KLM.