Dooh!! Hawa wadada ni balaa wamefanya juu chini mpaka wamekapata.Tayari kaisha [emoji23]View attachment 1602264
Kwisha habari yake aiseeπππDooh!! Hawa wadada ni balaa wamefanya juu chini mpaka wamekapata.
Inabidi kawe makini kwani kama katikati hapo kina Chama waliyumba sababu ya kuendekeza wanawake hivyo na kenyewe kakiwa hivyo kajiandae kusugua benchi.Kw
Kwisha habari yake aiseeπππ
Lakini pia tusihukumu kwani hatujajua lengo la wao kupigapo hiyo picha kwani waeza kuta wamekutana tu na hamna lolote kati.Kw
Kwisha habari yake aiseeπππ
Mwanzo wa ngoma ni lele, walijisema wahenga Shadeeya. Mbona wasipige picha na Nchimbi au Lamine?Lakini pia tusihukumu kwani hatujajua lengo la wao kupigapo hiyo picha kwani waeza kuta wamekutana tu na hamna lolote kati.
Au Onyango [emoji23][emoji23][emoji23]M
Mwanzo wa ngoma ni lele, walijisema wahenga Shadeeya. Mbona wasipige picha na Nchimbi au Lamine?
Na KagereπππAu Onyango [emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi nitavaa ili kuwapa moyo TunisiaKOCHA WA YANGA ASIPIMWE KWA PIRA BIRIANI, AACHWE AFANYE KAZI
Anaandika @exaud_msaka_habari
Cedric Kaze amesaini mkataba wa miaka Miwili yani atakuwa jangwani mpaka 2022. Ni mkataba mzuri utakaompa nafasi ya Kuijenga timu ya Ushindani.
Katika Mahojiano yake leo amesema amekuja kuifanya Yanga irudi kwenye hadhi yake, amekuja kurudisha Heshima ya Yanga nadhani hii ndio kiu ya Kila mwanajangwani kwa sasa.
Ila sasa Kazi ya kuifanya Yanga Irejee kwenye heshima yake sio nyepesi kama tunavyodhani na kocha anajua na Viongozi wa Yanga wanajua ndio maana wamempa mkataba Wa miaka Miwili.
Kama Yanga wanaitaka Yanga bora basi wavumilie Wapande milima na kushuka wampe Muda kocha afanye kazi yake kikamilifu.
Yanga waache haraka waliyonayo kichwani kwamba Watalala leo waamke kesho wakute timu yao imekuwa hatari sana, inahitaji Muda inahitaji Mipango na inahitaji Uvumilivu.
Waachane na kulifikiria Pira biriani wanalotamba nalo majirani zao, waache kuwaza mambo makubwa kwa kipindi kifupi, wakianza kumharakisha kocha awafikishe wanakotaka watamfukuza Soon. Wamuache afanyie kazi mipango yake.
Malengo ya Yanga ni Ubingwa msimu huu ila wapo ligi Moja na Simba na Azam wasije wakakosa Ubingwa wakamtimua Kocha, watakuwa wanamuonea Bure, waheshimu Muda utatoa majibu.
ALL IN ALL KUMBE TUNISIA WANAVAA JEZI NYEKUNDU SASA ITAKUAJE
mwacheni atumie mjuba wake [emoji1][emoji1][emoji1]Inabidi kawe makini kwani kama katikati hapo kina Chama waliyumba sababu ya kuendekeza wanawake hivyo na kenyewe kakiwa hivyo kajiandae kusugua benchi.
Bila kuweka CV zake hapa hiki ulichokiandika Mtani hakina tofauti na kimbwanga cha mwaka. ππHawa makocha wenu sijui mnawaokotaga wapi ,Yanga kuna shida mahali.