[emoji16][emoji16][emoji16][emoji10] France yani we utakua upo katika jiji la Marseille au LyonMi hapa home kwangu nimeipata ya France. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa Mtani. Mie niko France. 😀Kumekucha, niko Netherlands hapa, nawapata uzuri kabisa
It's either gap kupungua au kuongezeka
😀😀[emoji16][emoji16][emoji16][emoji10] France yani we utakua upo katika jiji la Marseille au Lyon
kumekucha hapa taifa[emoji3][emoji3]
Mungu ibariki yanga Sapong afunge penaltyWametuiga kufa fouls. Imekula kwao.
Yanga tunapata penalty.
Anapiga yeyeUwiiii. Naona Sarpong kashika mpira. [emoji848][emoji848]
Leo tunawakeraaaaaaaaa!!Wooooyoooooo