bora mpunguzwe ili tuanze mbio pamojaHakika na kama leo najua mnaombea mechi iishe hivi walau mshushe pumzi kidogo. ππ
Kweli kabisa. Na hata Feisal leo kama game imemkataa hivi.Ya lile boko limemtoa kwenye mchezo
Mtani hata siombei iwe hivyo mana kesho mtatupigia sana kelele huko maofisini.bora mpunguzwe ili tuanze mbio pamoja
kama nyie mlivyotupigia kelele kupoteza zile mechi mbili mfululizoMtani hata siombei iwe hivyo mana kesho mtatupigia sana kelele huko maofisini.
Mmeshasahau sasa baada ya kupiga piga bomu mochwari mfululizo. πkama nyie mlivyotupigia kelele kupoteza zile mechi mbili mfululizo
huyu ditram ni hatari sana mana hachelewi kuwanyanyua uto muda siyo mrefuDkk ya 72
Anatoka Tuisila Kisinda anaingia Ditram Nchimbi.
mashabiki furaha yetu ni ushindi tuMmeshasahau sasa baada ya kupiga piga bomu mochwari mfululizo. π
Huwa anajitahidi sana huyu jamaa.huyu ditram ni hatari sana mana hachelewi kuwanyanyua uto muda siyo mrefu
Haswaa japo kuna saa tunasahau kabisa kama mpira huwa una matokeo matatu.mashabiki furaha yetu ni ushindi tu
imefika dk ya ngapi na matokeo ni ngap ngapi?Huwa anajitahidi sana huyu jamaa.
Haswaa japo kuna saa tunasahau kabisa kama mpira huwa una matokeo matatu.
Mtani ndo unaamua kunichora eee? πimefika dk ya ngapi na matokeo ni ngap ngapi?
mana siko home
Dkk ya 86imefika dk ya ngapi na matokeo ni ngap ngapi?
mana siko home
refa maliza mpiraDuuh!!
Zimeongezwa Dkk 2.
penati imeokolewaUuwiiii!!! Namungo wanapata penalti. π€
Aiseee!! Imekuwa bahati Mtani mana tayari Namungo walikuwa wanamaliza mchezo.penati imeokolewa