kwan ana shida gan uyu jamaa..!?
Kuna kipindi alikuwa majeruhi ila wanasema kwa sasa yuko vizuri nadhani ni kocha tu ndo hampi nafasi.kwan ana shida gan uyu jamaa..!?
Kila la kheri Mtani katika kuokota mupira kun
Wivu huo kwiiiio. 😂😂😂Acha wivu wewe 😁
Hivyo Mtani mnaenda kuwachakaza ngapi wa naijeria?Acha wivu wewe 😁
Bado points mbili tu. 😋😀
Tunaenda kumaliza kazi Nigeria, nyie wengine endeleeni kutushikia nafasi. 😋😋Wivu huo kwiiiio. 😂😂😂
Kama zile tulizowapiga kipindi kile (4).😀Hivyo Mtani mnaenda kuwachakaza ngapi wa naijeria?
Ndio bado points mbili.Bado points mbili tu. 😋😀
Jidanganye tu.Kama zile tulizowapiga kipindi kile (4).😀
Dooh.Sare sare mauwaa
Asiyejua kuchaguaaa
Mchumba wake mziiguaa.[emoji125][emoji125][emoji125]
Waambie waje watuoneshe kama wanamchezaji kama huyu kwao.Cheki Tuisila Kisinda anavyo mkarisha mtu bila kumgusa huyu jamaa ni fundi gusa hiyo link hapo mbele kumsaport fundi Mzee wa Maspeed
Acha kuota wewe Shadeeya kesho ni kipigo tu.Ndio bado points mbili.
Tuna game ngumu kesho ila naamini tutapata matokeo hivyo mtaendelea kubakia huko huko chini.
Huna timu ya kumfunga Azam.Ndio bado points mbili.
Tuna game ngumu kesho ila naamini tutapata matokeo hivyo mtaendelea kubakia huko huko chini.